Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
sikumjibu kitu chochote ndo maana nikauliza hili swali wengine hatujawahi kutukana mtu sasa unapopata kitu kama hiki unashituka.
Thanks mkuu tuko pamoja
One love.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikumjibu kitu chochote ndo maana nikauliza hili swali wengine hatujawahi kutukana mtu sasa unapopata kitu kama hiki unashituka.
Thanks mkuu tuko pamoja
Girlie Girlie said:niache tafadhali
Huna akili pamoja upremium member wako. Ungekuwa na heshima ukaacha kunifatilia, endelea na maisha yako. I wish ningeweza kukublock milele!
Usifananishe makosa ya chenge na kwako.
Naanza kujiuliza mara mbili mbili maswali hapa si bure kuna kitu zaidi haiwezekani mmmmhhhhh sio kawaida
Wakati unanikosea alikuwepo?? Hii ni between me and you. Full stop!!!!
Dena Amsi said:Maana kila post nayopost unaifatilia kwa karibu sana mpaka kwenye nafasi za kazi umenifata na kuniuliza maswali mengiiiiiiii inaweza kuwa unanifahamu ila mimi ndo sikufahamu.
NB: Kama kuna kitu nimekukosea au kuna mahali nimekukwaza bila kujua tafadhali NISAMEHE SANA TENA SANA
Hivi mawakili huwa wanakuwepo wakati mwenye kesi akifanya kosa.
Usinambie wakili wa chenge alikuwepo wakati chenche akikibajaji kibajaji cha watu
Babu hujamuelewa huyu mjukuu ataka nini???? tamuuuuuuuuuuu,just you and her.....:hand::hand::rain: