Inasadikika China Yapeleka Makombora na Silaha Hatari Iran

Inasadikika China Yapeleka Makombora na Silaha Hatari Iran

Nenda kasome tangazo la wizara ya Foreign Affairs ya China,ndege zilienda kuchukua RAIA wao na kila walichonacho kupitia nchi jirani na Tehran
Mind u brother, they are cargo planes, specifically designed to load army cargos, no sits no whatever just space for loading cargos! And why would they turn off transponders before entering Iran airspace? Why would disappear from radar??? U think this was accidental?

Two big cargo planes from China have reached Ashgabat, Turkmenistan, 50 kms from the Iranian border. Both planes had their transponders turned off once inside the Turkmenistan airspace. It’s anyone’s guess what is on those planes. China has billions invested in Iran and would not like that investment go to waste.
 
China hawezi kufanya upuuzi huo,yupo neutral sana kwenye mambo yanayihusu vita
 
Ukisha shiba tende unahisahau taarifa zina sema.ndege za china hazijaingia Iran na zingeingia zingepasuliwa fasta tu
😂😂😂😂Unaota kaka.
Ndege ya mizigo ya China iliingia anga la Iran na ikazima transponder na ikatua Tehran.
Uguse ndege ya China unajitaka?
 
Source ya hiyo habari nayo ni masjid ubwabwa .....au...!?
 
Kama kuna mtu ambae hatamani kuingia vitani, hasa vita yenye mkono wa US basi ni China.
 
😂😂😂😂Unaota kaka.
Ndege ya mizigo ya China iliingia anga la Iran na ikazima transponder na ikatua Tehran.
Uguse ndege ya China unajitaka?
Hilo likinyago la china 🤣🤣🤣 china mandonga mtupu. Usichojua china hawezi ingiza pua yake hapo hata pini hatumi kaja kuchukua raia wake na mali zao
 
Najiuliza kwanini China ana urafiki na Iran ikiwa Iran inachukuliwa kama gaidi ama mwenye kusapoti ugaidi ina maana China inashirikiana na magaidi?
 
USA akipeleka makombora Israel mbona huleti uzi?
 
Hilo likinyago la china 🤣🤣🤣 china mandonga mtupu. Usichojua china hawezi ingiza pua yake hapo hata pini hatumi kaja kuchukua raia wake na mali zao
Watu wanabebwa na ndege ya mizigo!?
Kuwa serious kaka.
China aliwahi kumpiga USA kwenye Korea war.
Sema hii vita haimhusu sana hivyo kama msaada huwenda akatoa wa vifaa au fedha tena kwa njia ya mkopo.
 
Watu wanabebwa na ndege ya mizigo!?
Kuwa serious kaka.
China aliwahi kumpiga USA kwenye Korea war.
Sema hii vita haimhusu sana hivyo kama msaada huwenda akatoa wa vifaa au fedha tena kwa njia ya mkopo.
Funiture zao nk zina bebwa na mku###..?
 
Back
Top Bottom