Mind u brother, they are cargo planes, specifically designed to load army cargos, no sits no whatever just space for loading cargos! And why would they turn off transponders before entering Iran airspace? Why would disappear from radar??? U think this was accidental?Nenda kasome tangazo la wizara ya Foreign Affairs ya China,ndege zilienda kuchukua RAIA wao na kila walichonacho kupitia nchi jirani na Tehran
Ukisha shiba tende unahisahau taarifa zina sema.ndege za china hazijaingia Iran na zingeingia zingepasuliwa fasta tuNani kakwambia Israel anamiliki anga?
China ilipitisha ndege na mbona haikuguswa?
Jidanganyeni tu na propaganda za Israel na USA.
Hii ni mwanzo wa world war IIIKama US na mataifa ya ulaya yanaisaidia Israel, kuna kosa gani kwa China kuisaidia Iran?
😂😂😂😂Unaota kaka.Ukisha shiba tende unahisahau taarifa zina sema.ndege za china hazijaingia Iran na zingeingia zingepasuliwa fasta tu
Yapige hapa mlowaIla tu yasije rushwa kimakosa yakatua Itigi Singida
Hilo likinyago la china 🤣🤣🤣 china mandonga mtupu. Usichojua china hawezi ingiza pua yake hapo hata pini hatumi kaja kuchukua raia wake na mali zao😂😂😂😂Unaota kaka.
Ndege ya mizigo ya China iliingia anga la Iran na ikazima transponder na ikatua Tehran.
Uguse ndege ya China unajitaka?
Watu wanabebwa na ndege ya mizigo!?Hilo likinyago la china 🤣🤣🤣 china mandonga mtupu. Usichojua china hawezi ingiza pua yake hapo hata pini hatumi kaja kuchukua raia wake na mali zao
Funiture zao nk zina bebwa na mku###..?Watu wanabebwa na ndege ya mizigo!?
Kuwa serious kaka.
China aliwahi kumpiga USA kwenye Korea war.
Sema hii vita haimhusu sana hivyo kama msaada huwenda akatoa wa vifaa au fedha tena kwa njia ya mkopo.