Tumeyaona miaka mingi tangu wakati wa Nyerere akina Amir Jamal, na wakati wa Daud Balal, alipozikwa nje ya nchi,Kwa mujibu wa mwana mama Mange kimambi, ametoa madai mazito ya kwamba mtoto wa rais Abdul Ameir ana uraia wa UAE.
Hii imenikumbusha Sakata la rais wa Madagascar aliyetumuliwa na Gen Z na kugundulika ya kuwa alikuwa na uraia wa Ufaransa. Anyway, tujipe muda tu
Ukute naye anaandaliwa kuja kuwa RaisKwa mujibu wa mwana mama Mange kimambi, ametoa madai mazito ya kwamba mtoto wa rais Abdul Ameir ana uraia wa UAE.
Hii imenikumbusha Sakata la rais wa Madagascar aliyetumuliwa na Gen Z na kugundulika ya kuwa alikuwa na uraia wa Ufaransa. Anyway, tujipe muda tu
Ndio maana ni chawa tu wanapiga kelele. Wenyewe wanajitambua kuwa wanazo passport za ziada wala hawasemi kelele za kuwa akuna Lissu wanawatoto sii raia wa Tanzania.Kuna Level ya madaraka ukifika huwezi kuwa na Passport Moja tu mana muda wowote kinaweza kunuka Ulipo
Huyu dada ana chuki ya ndani ambayo nyuma yake imebebwa na wivu mkali sana! Hao wanaoshikiwa akili nayeye wajitazame mara mbili!!Kwa mujibu wa mwana mama Mange kimambi, ametoa madai mazito ya kwamba mtoto wa rais Abdul Ameir ana uraia wa UAE.
Hii imenikumbusha Sakata la rais wa Madagascar aliyetumuliwa na Gen Z na kugundulika ya kuwa alikuwa na uraia wa Ufaransa. Anyway, tujipe muda tu
Mange amevuka kipimo cha kuchanganyikiwa!Mbona yeye ana ukazi wa Marekani.
Anaongea nini huyu shetani?
Hajatosheka tu na damu za watu??
Mpuuzi yule halafu anaigiza kulia.Mange amevuka kipimo cha kuchanganyikiwa!
Naam! Kweli kabisa. Lakini kwa kufanya hivo anakuwa ameupoteza uraia wa Tanzania. Na kwa maana hiyo atahitaji vibari kufanya biashara flani flani pamoja na kuishi Tanzania.Lakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda
Naam! Kweli kabisa. Lakini kwa kufanya hivo anakuwa ameupoteza uraia wa Tanzania. Na kwa maana hiyo atahitaji vibari kufanya biashara flani flani pamoja na kuishi Tanzania.
Hauoni tatizo mkuu wa TISS kuwa raia wa nchi nyingine? ππ
Even though ni so wrong, maana sheria za nchi haziruhusuKuna Level ya madaraka ukifika huwezi kuwa na Passport Moja tu mana muda wowote kinaweza kunuka Ulipo
Tz huwez kua na Uraia pacha ,ikigundulika bas unapoteza Uraia wa tz ,Lakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda