GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Nakubaliana nawe 100%Mange amevuka kipimo cha kuchanganyikiwa!
Nakubaliana nawe 100%Mange amevuka kipimo cha kuchanganyikiwa!
Stroke Sometimes unakua mpumbavu samahaniMbona yeye ana ukazi wa Marekani.
Anaongea nini huyu shetani?
Hajatosheka tu na damu za watu??
Nyie na Samia ndiyo mmechanganyikiwa, Mange mnasema ka-organize maandamano remotely kutoka LA, maandamano ambayo hayajawahi kutokea tangu kuanzishwa hii nchi, zaidi ya 1962 uprizing ya army. Ameweza kuishawishi dunia kuwa Tanzania siyo nchi ya amani. Amefungua "Pandora Box" la minyooo, can you imagine? How genius she is, she inspired the uprising? Sasa nyie combine na Samia wenu, what at all you are able to do in your life time? Just kidnap, toture and killing of the innocent plus rigging the election to stay in power. Hicho ndicho mnachoweza. Typical AfricansNakubaliana nawe 100%