Tetesi: Inasemekana Abdul mtoto wa Rais Samia ana uraia wa UAE!

Tetesi: Inasemekana Abdul mtoto wa Rais Samia ana uraia wa UAE!

Mpuuzi yule halafu anaigiza kulia.

Kumbe tapeli tu.

Hivi mtu unapata faida gani kudanganya wenzako wakauwawe ilhali watoto wako wanakula baga huko ugenini.
Makamanda wa Palestina waliokuwa wanaishi mapangoni miaka yao yote huku wakichora mipango ya vita wanadangamya wenzao ?

Natafuta jibu sipati. Kwa nini Mange Kimambi na Maria Sarungi na kina Racho Dangwa wanawazidi serikali ushawishi ????

Kina Gersonl Msigwa hawajasomea public relations, mass communication, speech writting, crisis communication, international relations, political science....... Serikalini hakuna wenye ma degree haya wa ku counteract influence ya Recho Danga na Niffer ma Cosmetics, na Roma Mkatoliki na Ney wa Mitego ???? Not to mention Mange and Maria.
 
Makamanda wa Palestina waliokuwa wanaishi mapangoni miaka yao yote huku wakichora mipango ya vita wanadangamya wenzao ?

Halafu kula burger sio big deal, wenyewe wanaita junk food, chakula takataka.

Natafuta jibu sipati. Kwa nini Mange Kimambi na Maria Sarungi na kina Racho Dangwa wanawazidi serikali ushawishi ????

Kina Gersonl Msigwa hawajasomea public relations, mass communication, speech writting, crisis communication, international relations, political science....... Serikalini hakuna wenye ma degree haya wa ku counteract influence ya Recho Danga na Niffer ma Cosmetics, na Roma Mkatoliki na Ney wa Mitego ???? Not to mention Mange and Maria.
Akikujibu nitag 😃
 
Lakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda​
Mama yake alisema ukiwa na uraia wa nchi nyingine, unaukana wa Tanzania, wengi wetu wamepoteza hiyo status.
Kama amechukua uraia wa UAE, je anavyokuja TZ anakuja kwa visa na kulipia kama wanaofanya watanzania wengine waliochukua uraia wa nchi nyingine? Nijibu hapo kama kweli huongei pumba? Inakuwaje Abdul anahusishwa nwa matendo maovu ya utekaji, wakati tayari ni raia wa UAE? j
Hatuna shida na uraia wake wa UAE, kinachoumiza huyo Abdul anahusika na hivi vitendo vya kikatili vya utekaji, ufiraji, ubakaji, mateso, mauaji na kuharibu maiti (kuwachoma moto, kuwatupa baharini, kuwafukia kwenye makaburi ya kimbari n.k). Kama siyo raia wetu, basi kuna shida kubwa kwenye system, na ni jukumu letu kulinda nchi yetu.
 
Mbona yeye ana ukazi wa Marekani.

Anaongea nini huyu shetani?

Hajatosheka tu na damu za watu??
Wewe ni mpuuzi tena mvuna làana juu ya ardhi ya Tanz. Polisi waue raia halafu nywi nywinywi kwa Mange?? Akili au matope??
 
Shetani ni huyo Mange.

Anawajaza upepo halafu anatulia zake huko na wanawe anawachora kwa kupost mkiwa hoi.
Hakuna namna mnaweza kuhalalisha mauaji mliyofanya, hata mje na propaganda za aina gani. Mmeua mpaka watoto wa miaka miwili, mpaka wamama wajawazito, mnanuka damu za watu na hiyo laana itawatafuna na vizazi vyenu
 
Mange ameleta hii kitu twaita "case sensitive" yaani ataka watu wadadavue huo uraia wa Abdul kama ni wa UAE au ni wa Tanzania.

Huko UAE kwenyewe wana sheria zao uhamiaji ambazo zatoa fursa kwa watu fulani kuweza kupata uraia kupita njia kama uwekezaji na kuwa na vipajji fulani.

Kwa mfano, mwaka 2016 kwenye mbio za riadha mjini Rio de Janeiro tuliona mifano kama wanariadha walozaliwa Ethiopia Alia Saeed Mohammed na Betlhem Desalegn Belayneh wakiwakilisha nchi ya UAE. Hawa walipewa uraia wa UAE kutokana na kuwa na vipaji kwenye mchezo wa riadha.

Njia ingine ambayo mtu aweza kupata uraia wa UAE ni kupitia ndoa kati ya raia wa UAE na raia wa kigeni, Lakini sheria za uhamiaji zataka raia huyo wa kigeni awe ni mwanamke na si mwanamme. Yaani mwanamme hawezi kuupata uraia kupitia njia kuoa mwanamke wa Imirati.

Kwahiyo njia hii haimpi nafasi Abdul kuupata uraia wa UAE kupitia njia ya ndoa kwasababu tiyari pia ameoa mwanamke ambae ingawa hatufahamu (backgound) yake hivyo twachukulia ni wa kutokea Zanzibar.

Ipo pia njia ya kuupata uraia kupitia kurithi kutoka kwa babu. Njia hii yawahusu sana wale watu ambao baba zao wapo UAE au nje ya UAE, babu zao walilowea UAE tangia mwaka 1925 hadi 1972 na pia mtu ana mama ambae anaishi nje ya UAE lakini baba hayupo.

Na njia ingine ambayo ni rahisi kwa watu kama Abdul kuipata ni ile ya uwekezaji yaitwa Golden Visa. Viza hii mgeni aruhusiwa kusoma, kuishi na kufanya kazi nchini humo kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10.

Masuala mazito kama haya anoleta Mange Kimambi atakiwa kuwa makini na kwa maoni yangu ni kwamba habari hii imeileta ikiwa nusu.

Aeleze huyo Abdul huu uraia wa UAE ameupata vipi na katika mazingira yepi ili iwe rahisi kuelewa badala ya kuleta habari hii ikiwa nusu na kuzusha kauli mbalimbali zasizo na maana yoyote ile.
 
Tumeyaona miaka mingi tangu wakati wa Nyerere akina Amir Jamal, na wakati wa Daud Balal, alipozikwa nje ya nchi,

Sisi wenye umri mkubwa hatushangazwi na na hayo Mambo, viongozi wengi Wana uraia pacha,
Amir Jamal serikali ilimtekeleza, watoto wake walio Canada wakamchukua baba yao, ilibidi achukue uraia ili aweze kupewa matibabu, mpaka alipofariki.
 
Kwa mujibu wa mwana mama Mange kimambi, ametoa madai mazito ya kwamba mtoto wa rais Abdul Ameir ana uraia wa UAE.

Hii imenikumbusha Sakata la rais wa Madagascar aliyetumuliwa na Gen Z na kugundulika ya kuwa alikuwa na uraia wa Ufaransa. Anyway, tujipe muda tu

Enyi mlioamini! Akiwajia fasiki na habari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kutojua, na mkawa wenye kujuta kwa mliyoyatenda.
 
Back
Top Bottom