Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Tanzania haina dual citizenship. Yuko Tanzania kwa visa ya aina gani na ya muda gani?Lakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda
Tanzania haina dual citizenship. Yuko Tanzania kwa visa ya aina gani na ya muda gani?Lakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda
Mm nilisha mblock alipo anza kujiigizsha kulia kuna namna una ona kabisa haya ni maigizo ya wazi waziMpuuzi yule halafu anaigiza kulia.
Kumbe tapeli tu.
Hivi mtu unapata faida gani kudanganya wenzako wakauwawe ilhali watoto wako wanakula baga huko ugenini.
Kuna kupambana ukiwa ndani na kuna kupambana ukiwa nje. Ipo mifano mingi ya watu waliopambania nchi zao kwa mafanikio wakiwa nje.Mpuuzi yule halafu anaigiza kulia.
Kumbe tapeli tu.
Hivi mtu unapata faida gani kudanganya wenzako wakauwawe ilhali watoto wako wanakula baga huko ugenini.
Rais Punga?Ukute naye anaandaliwa kuja kuwa Rais
Nashangaa hoja zao nyingine zilivyo kuwa pumbu nje.. why?Lakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda
Kasema mange basi tayari ushaamini bila hata ya vielelezo vilivyothibitishwa,mange kawashika pabayaTanzania haina dual citizenship. Yuko Tanzania kwa visa ya aina gani na ya muda gani?
Si viongozi wa kiserikali tu, hata nje yao wapo wengi tu wenye uraia pachaTumeyaona miaka mingi tangu wakati wa Nyerere akina Amir Jamal, na wakati wa Daud Balal, alipozikwa nje ya nchi,
Sisi wenye umri mkubwa hatushangazwi na na hayo Mambo, viongozi wengi Wana uraia pacha,
Umesoma na kuelewa kwanini nimemjibu niliyemjibu?Kasema mange basi tayari ushaamini bila hata ya vielelezo vilivyothibitishwa,mange kawashika pabaya
Uraia pacha passport zaidi ya Moja Toka nchi tofauti??Tumeyaona miaka mingi tangu wakati wa Nyerere akina Amir Jamal, na wakati wa Daud Balal, alipozikwa nje ya nchi,
Sisi wenye umri mkubwa hatushangazwi na na hayo Mambo, viongozi wengi Wana uraia pacha,
Mr A hana uwezo/athari wowote wa kuhakikisha madaraka yapo kwao, madaraka ya nchi hii yangekua rahisi kuyaathiri hivyo lile kanisa linaloumia kobazi akitawala lingekua limeshabadili utawala mara nyingi toka awamu ya pili,nne na hii,maana ofisi za umma katika watumishi 10 basi watano wakwaoIko Hivi hii ni Biashara
1.Mange anahakikisha hapotezi wateja wake wa mtandaoni
2.Mr A Yuko kuhakikisha Madaraka yanabaki kwao mpk muda wa kuondoka ufike
3.Watanzania ni sehemu ya Mtaji wa hii Biashara ( siku zote Mtaji ndio unaopiganiwa na kulindwa )
Hahahaha,, balanceMr A hana uwezo/athari wowote wa kuhakikisha madaraka yapo kwao, madaraka ya nchi hii yangekua rahisi kuyaathiri hivyo lile kanisa linaloumia kobazi akitawala lingekua limeshabadili utawala mara nyingi toka awamu ya pili,nne na hii,maana ofisi za umma katika watumishi 10 basi watano wakwao
Kuna sheria gani inayoruhusu watu kuuwawa? Mmeua mpaka na watoto wadogo af mnatafuta scapegoat? Mashetani kabisa ninyiMpuuzi yule halafu anaigiza kulia.
Kumbe tapeli tu.
Hivi mtu unapata faida gani kudanganya wenzako wakauwawe ilhali watoto wako wanakula baga huko ugenini.
Shetani ni huyo Mange.Kuna sheria gani inayoruhusu watu kuuwawa? Mmeua mpaka na watoto wadogo af mnatafuta scapegoat? Mashetani kabisa ninyi
Mbona wapo wengi. Mama yake kadhalika. Wote hawa akina Mohamed Dewji, Rostam, Kikwete na wengine wengi wanao uraia pacha.Kwa mujibu wa mwana mama Mange kimambi, ametoa madai mazito ya kwamba mtoto wa rais Abdul Ameir ana uraia wa UAE.
Hii imenikumbusha Sakata la rais wa Madagascar aliyetumuliwa na Gen Z na kugundulika ya kuwa alikuwa na uraia wa Ufaransa. Anyway, tujipe muda tu
Prince Mu.... tulia kidogo mkuuLakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda
Ni mkuu wa usalama wa taifa indirectLakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda
Naam! Kweli kabisa. Lakini kwa kufanya hivo anakuwa ameupoteza uraia wa Tanzania. Na kwa maana hiyo atahitaji vibari kufanya biashara flani flani pamoja na kuishi Tanzania.
Kwa mujibu wa mwana mama Mange kimambi, ametoa madai mazito ya kwamba mtoto wa rais Abdul Ameir ana uraia wa UAE.
Hii imenikumbusha Sakata la rais wa Madagascar aliyetumuliwa na Gen Z na kugundulika ya kuwa alikuwa na uraia wa Ufaransa. Anyway, tujipe muda tu