Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,310
- 13,098
Cc BICHWA KOMWE -Kwa mujibu wa mwana mama Mange kimambi, ametoa madai mazito ya kwamba mtoto wa rais Abdul Ameir ana uraia wa UAE.
Hii imenikumbusha Sakata la rais wa Madagascar aliyetumuliwa na Gen Z na kugundulika ya kuwa alikuwa na uraia wa Ufaransa. Anyway, tujipe muda tu
Yeye ndiyo alikuwa shooter ?Mbona yeye ana ukazi wa Marekani.
Anaongea nini huyu shetani?
Hajatosheka tu na damu za watu??
Ameukana uraia wa Tanzania? Ujue ni muajiriwa huyu wa serikali hii ya mama yake? Anakuwaje na uraia mwingine tena?Lakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda
Na anasema analindwa na FBI....Mbona yeye ana ukazi wa Marekani.
Anaongea nini huyu shetani?
Hajatosheka tu na damu za watu??
Easy mindLakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda
Mbona yeye ana ukazi wa Marekani.
Anaongea nini huyu shetani?
Hajatosheka tu na damu za wat.
Makamanda wa Palestina waliokuwa wanaishi mapangoni miaka yao yote huku wakichora mipango ya vita wanadangamya wenzao ?Mpuuzi yule halafu anaigiza kulia.
Kumbe tapeli tu.
Hivi mtu unapata faida gani kudanganya wenzako wakauwawe ilhali watoto wako wanakula baga huko ugenini.
Akikujibu nitag 😃Makamanda wa Palestina waliokuwa wanaishi mapangoni miaka yao yote huku wakichora mipango ya vita wanadangamya wenzao ?
Halafu kula burger sio big deal, wenyewe wanaita junk food, chakula takataka.
Natafuta jibu sipati. Kwa nini Mange Kimambi na Maria Sarungi na kina Racho Dangwa wanawazidi serikali ushawishi ????
Kina Gersonl Msigwa hawajasomea public relations, mass communication, speech writting, crisis communication, international relations, political science....... Serikalini hakuna wenye ma degree haya wa ku counteract influence ya Recho Danga na Niffer ma Cosmetics, na Roma Mkatoliki na Ney wa Mitego ???? Not to mention Mange and Maria.
Mama yake alisema ukiwa na uraia wa nchi nyingine, unaukana wa Tanzania, wengi wetu wamepoteza hiyo status.Lakini DULLY yeye sio Rais Urais ni wa mama yake anayo haki kuomba uraia wa nchi yoyote akipenda
Wewe ni mpuuzi tena mvuna làana juu ya ardhi ya Tanz. Polisi waue raia halafu nywi nywinywi kwa Mange?? Akili au matope??Mbona yeye ana ukazi wa Marekani.
Anaongea nini huyu shetani?
Hajatosheka tu na damu za watu??
Hakuna namna mnaweza kuhalalisha mauaji mliyofanya, hata mje na propaganda za aina gani. Mmeua mpaka watoto wa miaka miwili, mpaka wamama wajawazito, mnanuka damu za watu na hiyo laana itawatafuna na vizazi vyenuShetani ni huyo Mange.
Anawajaza upepo halafu anatulia zake huko na wanawe anawachora kwa kupost mkiwa hoi.
Amir Jamal serikali ilimtekeleza, watoto wake walio Canada wakamchukua baba yao, ilibidi achukue uraia ili aweze kupewa matibabu, mpaka alipofariki.Tumeyaona miaka mingi tangu wakati wa Nyerere akina Amir Jamal, na wakati wa Daud Balal, alipozikwa nje ya nchi,
Sisi wenye umri mkubwa hatushangazwi na na hayo Mambo, viongozi wengi Wana uraia pacha,
Enyi mlioamini! Akiwajia fasiki na habari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kutojua, na mkawa wenye kujuta kwa mliyoyatenda.Kwa mujibu wa mwana mama Mange kimambi, ametoa madai mazito ya kwamba mtoto wa rais Abdul Ameir ana uraia wa UAE.
Hii imenikumbusha Sakata la rais wa Madagascar aliyetumuliwa na Gen Z na kugundulika ya kuwa alikuwa na uraia wa Ufaransa. Anyway, tujipe muda tu
Sheria za Nchi ni applicable Kwa Ordinary Citizens mkuuEven though ni so wrong, maana sheria za nchi haziruhusu
Abdul ana madaraka gani?Kuna Level ya madaraka ukifika huwezi kuwa na Passport Moja tu mana muda wowote kinaweza kunuka Ulipo
Kama Unaona Hana Nguvu ni sawa piaAbdul ana madaraka gani?
Yap, for elite class ni kama hazipo until wanapoangushwa ndio madudu hujulikanaSheria za Nchi ni applicable Kwa Ordinary Citizens mkuu