Pre GE2025 Inasemekana baadhi ya Maaskofu wachukizwa na Padre Kitima kufanya Vikao vya Siri na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM ni shetani
 
jamaa jinga sana wewe kuna watu mulitakiwa kuwa matyako
 
Ni wapi hao,au unaa wa wanachukua chako mapema,kumhami mwamba tuzamishe.
 
MBONA HAKUNA SHIDA.
"Juzi Tundu Lisu aliwaeleza wanahabari kuwa ni kweli yeye na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe waliitwa Katika kikao Cha siri KILICHOLENGA KUWASULUHISHA "

Watu wakigombana na mtu akawasuluhisha Kuna tatizo???

Padre ana mipaka ya kisuluhisha watu??
 
Papa wao amewaambia wawe.busy na imani wao wako busy na siasa

Kitima anamsaidia wa nyumbani kwao
 
Amefanya vizuri sana kuwakalia kimya
 
Padri Kitima kajivua nguo. Ila maaskofu kuchachamaa kwenye group la watsapp nimeshangaa πŸ˜„. Kwa hadhi zao kama kuna ubaya nadhani wana namna yao ya kushughulikia hilo na sio watsapp group. Umewashusha hadhi sana.
Mleta Mada Alete Ushahidi Wa Hizo Chati Za Wasapu Tuone Ni Kwa Namna Gani Hao Maaskofu Walivyochachamaa Na Si Kutuchuza Kwa Stori Za Kwenye Vijiwe Vya Alkasusu
 
Kumbe ni baadhi tu?
 
alikua anasulihisha ndoa ama nini?

na aliokua akiwasuluhisha ni waamini wa jumuiya au parokia gani? Na Je, hiarakia ya kanisa inasemaje?

na alitumwa na baraza la maaskofu au alifanya kwa utashi wake binafsi au upendeleo wa kikabila na kwasababu yeye ni mwanachadema na mfuasi wa Tundu Lisu mtu wa kabila lake na wametoka kijiji kimoja kule singinda?πŸ’
 
HAwa ni wanafik na mungu anawaumbua taratibu, tuliwaambia wasajili tu chama cha siasa ,maana shida yao ni ulafi
 
Papa wao amewaambia wawe.busy na imani wao wako busy na siasa

Kitima anamsaidia wa nyumbani kwao
ni muhimu waamini wakaanza kumpuuza kwasababu ataaendelea kuwahubiria mambo ya chadema na kumpambania mgombea uongozi wa kabila lake hiku akitumia nafasi aliyonayo kufanya hivyo,

baraza la maaskofu katoliki Tanzania na kanisa linafaa kumshughulikia mamluki huyu wa chadema aliejibanza ndani ya kanisa katoliki kwa muda mrefu, vinginevyo kanisa litagawanyika na kuhatarisha amani Tanzania πŸ’
 
jamaa jinga sana wewe kuna watu mulitakiwa kuwa matyako
muerevu kumbe makasiriko na mihemko yanini kama huna mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani?

kaa kimya epuka matusi ambayo ni nonsense kwenye mijadala ya kistaarabu gentleman πŸ’
 
Nyie watu mnafikiri kitima anafanya hayo Kwa utashi binafsi au maelekezo aliyopewa na wenye mamlaka makubwa zaidi ndani ya kanisa!!?
Hai ndio walisimamia Transition ya Tanganyika kuwa Tanzania kupitia kijana wao mwaminifu Burito kambarage nyerere!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…