Pre GE2025 Inasemekana baadhi ya Maaskofu wachukizwa na Padre Kitima kufanya Vikao vya Siri na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pumba tupu
 
Kanisa katoriki ni taasisi inayojiendesha kwa misingi na taratibu zake na weledi wa hali ya juu kwahiyo ilo jambo si la kweli na hutalisikia kwenye masiko au maandiko ya mitandao au viongozi wa kiroho wakikisema kama zilivyo madhehebu mengine
 
Mwalimu wa hili somo ni CCM lakini kama lengo lilikuwa ni 'kuwasiluhisha' na wote walimuamini kwenye hilo I don't see anything wrong with that, kwani CCM wao huwatumia kama influencers kwenye vikao vyao.
Kanisa lina haki ya kufanya uchunguzi wake kuona kama taratibu za kanisa zimekuwa ama la, Catholic ukiachilia mbali madhaifu ya baadhi ya mapadre/maaskofu lakini kama institution huwa wamenyooka sana na ni wasomi wanaoamini katika sheria na taratibu za kanisa.
Kuhusu kusemana au kumsema padre/askofu katika groups za WhatsApp hilo ni jambo lisilowezekana katika institution yao, those dudes have principals huo upuuzi wa kusemana/kuchambana on WhatsApp groups that shit can never happen.
 
Kosa ni lipi hapo Sasa. Kama balozi wa nyumba Kumi, huwa anapatanisha mpaka ndoa,, sembuse kiongozi wa dini kusaidia wanasiasa wawili kupatana? Tena padre mwenyewe, na wajihi kama wa Dr Kitima?

Kushauliwa au kushauliana ni tendo la kawaida kabisa ambalo tunalifanya Kila wakati. Hivi kama angekutana na watu wa CCM kuwapatanisha, kungekuwa na haya makelele?

Tujifunze kupunguza kuingilia faragha za watu. Watu wanakutana sana kwa mambo mengi, mazuri na mabaya..Au kwa sababu huwa hatuwaoni? Sembuse wanasiasa kushauliwa na padre?

Kwani hatujui kwamba watumishi wa Mungu huwa ni reconciliatory figures??
 
Uongo Mtupu.
Unamjua Fr. Dr. Kitima vizuri weye? Mimi namjua na najua hata sasabu za kunyimwa Uaskofu. Na je, unajua Fr. Dr. Kitima alikuwa "rafiki mzuri" wa Mwamba Magufuli kabla Mwamba hajawa Rais? Je, unajua kwanini Mwamba Magufuli baadae "alivunja urafiki" na Fr. Dr. Kitima?
 
Uongo,maaskofu wa Katoliki na mapdre ni wasomi wa kiwango cha juu hawezi kumjia juu Padre aliyetimiza wito wake wa kitume kupatanisha ndugu waliokuwa wanagombana.
 
Acha uongo habari za TEC sio rahisi kuzipata kilaza kama wewe. Ile ni taasisi imara na kongwe
 
Acha uoumbavu maaskofu hawana group la whatsapp
 
Wamfukuze kama walivyomfukuza Dr. SLaa ili akakitumikie vizuri Chama chake cha Chagadomo!🤣🤣
 
Acha uongo habari za TEC sio rahisi kuzipata kilaza kama wewe. Ile ni taasisi imara na kongwe
Wewe ndio huwezi kuzipata! Kwani hujui kuwa Maaskofu wengine ni ndugu zetu. Pia wengine tumebobea kwenye udukuzi wa mitandao🤣🤣
 
Hutaki kuamini? Subiri atakapofukuzwa kama Dr. Slaa
 
Kwanini badala ya kusema viongoi wa CCM wewe unaandika Maaskofu wa Katoliki? Hujui hivyo vikao vya upatanishi ni sehemu ya kazi ya kichungaji? Ruhusa gani anayohitaji kutimiza majujumu yake? Jifunze kudanganya ili ueleweke
 
Reactions: UCD
Inasemekana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…