PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waturudishie Password za X (Twitter) basi au Na zenyewe Watazitumia kwa Mzee Spunda
 
Hii ndio siri iliyofichuka kwa sasa

View attachment 3327298

Kabla ya kuona Aibu mipango ya kuhamia ccm ilishakamilika

View attachment 3327300

Ngoja tuone watahangaika hadi wapi.

Watu kuhama katika Vyama vya Siasa au kuhama Dhehebu la Dini ni jambo la kawaida kabisa hapa duniani. Wala siyo Kitu Kigeni.

Isipokuwa kwa jinsi Mimi ninavyofahamu, nchini Tanzania kuna Makundi Matatu (3) ya Vyama vya Siasa, makundi hayo ni:-

1. Vyama Tawala.
Kwa Sasa kipo kimoja tu, yaani CCM. CCM inatawala nchi hii ikiwa Chama pekee, haijaingia Mseto na Chama kingine chocolate kile Cha Siasa ili kuunda Serikali.

2. Vyama vya Upinzani.
Hivi ni Vyma mbadala ambavyo vinakinzana na Chama Tawala kwa kutumia nguvu za hoja, hoja za nguvu, ushawishi wake katika jamii, n.k. Mainly, Vyama hivi vinalenga hasa masuala ya HAKI na Demokrasia.

3. Vyama Mamluki.
Hivi ni Mkusanyiko wa Vyama ambavyo Vinamilikiwa na Chama Tawala kilichopo Madarakani. Kazi yake kuu ni kufanya Siasa za Geresha, Maigizo, hadaa na Ghiriba ili kuhujumu harakati halali za Kupigania HAKI na Demokrasia katika nchi. Vyama hivi ni Kama vile 'Undercover Agents,' wanaofanya kazi chini ya Mwavuli wa Siasa, lakini nyuma ya pazia vinaifanyia kazi Utawala uliopo na Chama Tawala.
 
Muda wote huu mlikuwa mnaposti vipi vitu bila password? Na kwa nini hamkuibadilisha mara mlipoingia ofisini?

Amandla...
 
Baadhi bado wanakipenda Chadema na ipo siku watarudi.
Wanaipenda Chadema lakini sio uongozi wa sasa. Mapenzi yao kwa Chadema ndio kumewafanya waondoke. Sidhani kama watarudi katika mazingira haya. Hata kama huko watakakoishia hawatakuwa na nafasi kama walizokuwa nazo Chadema wataridhika kwa sababu nafsi zao zitakuwa na amani.

Amandla...
 
Hii ndio siri iliyofichuka kwa sasa

View attachment 3327298

Kabla ya kuona Aibu mipango ya kuhamia ccm ilishakamilika

View attachment 3327300

Ngoja tuone watahangaika hadi wapi.
Nikafiri wewe ni Msemaji wa Chadema na Lissu tu. Kumbe ni Msemaji wa G55 pia? Hili ni jambo jema kwa kweli.
Ila kwa maoni yangu, hao G55 Wana haki ya kuhamia chama chochote madam kinafanya siasa Tanzania. Ni mtu mjinga na mpumbavu ndiye anaweza kuamini chama chake ni bora kuliko Cha wenzie. Narudia tena, mtu huyo ni mjinga na mpumbavu!
 
Back
Top Bottom