PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi nawashangaa watu ambao walikuwa karibu na hao G55 halafu leo wanawabeza na kuwatukana. Mabinti kama Hilda wanapata wapi ubavu wa kumtukana Mbowe? Kwa kweli inasikitisha.

Amandla...
 
Habari ni kwamba viongozi wa CHADEMA kanda zote wamepewa donge nono la 200m ili kudhoofisha chama lakini mpango huo dolar imeshindwa kujuwa watu watagundua mradi huo.

Tunachosikitika ni kwamba pesa za walipa kodi zinatumika vibaya kwa mambo ambayo hayana msingi wowote ! Tetesi zilizopo hadi waliomo CCM wamesubiri bunge livunjwe waanze mashambulizi makali kule jumba jeupe wamechoka na siasa za kihuni .

Kuna mwenezi aliwahi kusema tanzania tusipokuwa makini tunaweza kuongozwa na wahuni kwamba serikali inaweza kupigwa copy😁😁 aliyepo akawa kivuli kumbe kuna wengine wanaongiza ! Haya yanajitokeza kwa sasa mwenye meno jumba jeupe hafanyi maamuzi yanafanywa na vijana wake wahuni na mtu yule aliyetoa salaam za rambirambi kwenye msiba wa mzee msuya. Hata hivo mzee butiku aliwahi pia kusema maneno hayo !

Sasa yametimia watu wanapotea kupotezwa na kununua wapinzani aisee hii ndoo Tanzania ya madaraka.
 
Habari ni kwamba viongozi wa chadema kanda zote wamepewa donge nono la 200m ili kudhoofisha chama lakini mpango huo dolar imeshindwa kujuwa watu watagundua mradi huo.
Tunachosikitika ni kwamba pesa za walipa kodi zinatumika vibaya kwa mambo ambayo hayana msingi wowote ! Tetesi zilizopo hadi waliomo ccm wamesubiri bunge livunjwe waanze mashambulizi makali kule jumba jeupe wamechoka na siasa za kihuni . Kuna mwenezi aliwahi kusema tanzania tusipokuwa makini tunaweza kuongozwa na wahuni kwamba serikali inaweza kupigwa copy😁😁 aliyepo akawa kivuli kumbe kuna wengine wanaongiza ! Haya yanajitokeza kwa sasa mwenye meno jumba jeupe hafanyi maamuzi yanafanywa na vijana wake wahuni na mtu yule aliyetoa salaam za rambirambi kwenye msiba wa mzee msuya. Hata hivo mzee butiku aliwahi pia kusema maneno hayo ! Sasa yametimia watu wanapotea kupotezwa na kununua wapinzani aisee hii ndoo tanzania ya madaraka.
Kodi za watanganyika hizo wakati watoto mashuleni hawana vyoo CCM wabinafsi sana na hapo kwa ajili ya wananchi
 

Attachments

  • IMG_20250516_215814.jpg
    IMG_20250516_215814.jpg
    93.9 KB · Views: 19
Ebu fikiria Yule mbunge anayejiita mafia kasema kabisaa kuwa hawezi kuachia ubunge na yupo tayari kuuwa MTU .... nashindwa kuelewa hawa wajinga ambao wamejitoa CHADEMA wakitegemea ubunge wa burebure watapewa Kupitia majimbo gani
 
Habari ni kwamba viongozi wa CHADEMA kanda zote wamepewa donge nono la 200m ili kudhoofisha chama lakini mpango huo dolar imeshindwa kujuwa watu watagundua mradi huo.

Tunachosikitika ni kwamba pesa za walipa kodi zinatumika vibaya kwa mambo ambayo hayana msingi wowote ! Tetesi zilizopo hadi waliomo CCM wamesubiri bunge livunjwe waanze mashambulizi makali kule jumba jeupe wamechoka na siasa za kihuni .

Kuna mwenezi aliwahi kusema tanzania tusipokuwa makini tunaweza kuongozwa na wahuni kwamba serikali inaweza kupigwa copy😁😁 aliyepo akawa kivuli kumbe kuna wengine wanaongiza ! Haya yanajitokeza kwa sasa mwenye meno jumba jeupe hafanyi maamuzi yanafanywa na vijana wake wahuni na mtu yule aliyetoa salaam za rambirambi kwenye msiba wa mzee msuya. Hata hivo mzee butiku aliwahi pia kusema maneno hayo !

Sasa yametimia watu wanapotea kupotezwa na kununua wapinzani aisee hii ndoo Tanzania ya madaraka.
Wewe RWANDES umeelewa taarifa isiyo sahihi. Mimi ni mmoja wa wanakamati ya kuhakikisha Viongozi wa Chadema wanahama Chadema. Tumepanga kila anayetangaza kuondoka tunampa mafao yafuatayo;
a) Bilioni moja inayoingia kwenye akaunti kabla ya kutangaza kujitoa Chadema. 😎😎😎😎!
b) Uhakika wa kupewa Ukuu wa Wilaya au Ukurugenzi wa Halmashauri baada ya Uchaguzi Mkuu.😎😎😎😎!
c) Nyumba ya ghorofa mbili katika mji atakapotaka! 😎😎😎😂!
d) Gari mpya (yaani 000 Km) aina ya vieite lenye usajili pleti namba ya jina lake!😎😎😎😎!
e) Passport yenye hadhi ya Kidiplomasia (Diplomatic Immunity) ambayo itamruhusu kusafiri nje ya nchi angalau mara kumi na mbili kwa mwaka au mara moja kwa mwezi pamoja na familia bila kumsahau Dada wa Kazi! 😎😎😎😎!

Je, hata kama ni wewe kwanini usikubali? Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom