Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Muulize "can he fry(not fly) to Sumbawanga?"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, umeongea kwa hekima sana. AminaUkifanya mambo bila kufikiri ndo madhara yake haya. Siku zote ishi kama kesho hautakuwepo
Niambie mjuzi. Hivi lile andiko lako kuhusu Zimbabwe na Robert Mugabe huwa unathubutu kulifungua?' Purely Talented and Charismatic Fella '
Niambie mjuzi. Hivi lile andiko lako kuhusu Zimbabwe na Robert Mugabe huwa unathubutu kulifungua?
Kwa maelezo yako mi naona jamaa bas yuko sahihi km we ulitaja kizaz cha pili cha hao magwiji nae kataj kizaz icho icho tatizo liko wapi??alafu akujibu kwa nia mbaya sema sijui kwanini umemind sana mkuu mambo mengine nikueleweshan tu kwa lugha nzuri!!Naona umejibu ' upuuzi ' mwingi kama ambavyo nilikuhisi yawezekana ukawa ni ' mpuuzi '. Bado nasisitiza Kwako kwamba ukitaka kuyaelewa maandiko yangu humu JamiiForums jitahidi sana hata uwezo wako wa Kufikiri / Akili uwe ni wa Kiwango cha juu kidogo vinginevyo utakuwa hunielewi halafu unakuja Kwangu na aina hii hii ya ' upuuzi ' wako.
Na kwa kukusaidia tu kuhusu hao wapiga Gitaa la Solo maarufu huko nchini Kongo huwezi ukamweka huyo Diblo Dibala wako na tunaojua vilivyo mziki wa Kikongo tokea miaka hiyo ya mwanzoni mwa 80 wapiga Magitaa mahiri wa Bendi za Kongo ni wawili tu Veteran Le Roi Dilu au Dilu Dilumona na mwenzake Beniko. Hata huyo Diblo Dibala wako japo nyie Vijana wa leo mnajifanya kumjua na kumsifia lakini Walimu wake ni hao na anawaheshimu hadi Kesho.
Diblo Dibala ni mpiga Solo mahiri wa Kizazi cha Pili cha Muziki wa Kongo akiwa na Wenzake wanne akina Dally Kimoko ambaye Wakongo wengi hupenda kumuita ' Gitare Ezanga Likwanza ', Burkinafaso Mbokaliya, Cain Madoka na Alain Makaba Prense ila wa Kizazi cha Kwanza ni hao wawili Le Roi Dilu au Dilu Dilumona na wapiga Solo mahiri wa Kizazi hiki cha Tatu Kongo ni hawa Watatu Mitre Ficarre Mwamba anapiga na Wenge BCBG ya JB Mpiana kisha Flam Mwenie Kapaya anapiga na Wenge Maison Mere ya Werrason na Felly Tyson anapiga na Quarter Latin Band yake Koffi Olomide.
Akhsante.
Kwa maelezo yako mi naona jamaa bas yuko sahihi km we ulitaja kizaz cha pili cha hao magwiji nae kataj kizaz icho icho tatizo liko wapi??alafu akujibu kwa nia mbaya sema sijui kwanini umemind sana mkuu mambo mengine nikueleweshan tu kwa lugha nzuri!!
Lifungue usome utajua tatizo lakeKwani lina matatizo gani?
Lifungue usome utajua tatizo lake
Mbona wapo wengi tu wazuriKwani kumuita Mtu ' mpuuzi ' ni lugha mbaya? Basi ngoja nibadilishe na nimuite ' hopeless ' je umeridhika sasa?
Huyo kwa hiyo iman hawezi kuwa hospital bila shaka yupo kwa mganga wakienyejiYupo hospital ipi tukamtembelee au anaugulia nyumbani
nimekuelewa.......inabidi uwe na kumbukumbu za nyuma ili kuelewa hii verseMkuu fafanua vizuri
Mbona wapo wengi tu wazuri
Mfani. Sara sollo, akina kimbangu ni wazuri sana
Wewe una vinasaba vya ki lemutuz unavyopenda kujisifu utakuwa unakanyagwaHuwa sianzishi uzi ambao una matatizo au usio sahihi ila yawezekana ni ' akili ' zako ndizo zina matatizo na pengine yakupasa uwahi mapema Milembe Hospital ukapate msaada wa haraka wa Tiba kabla hali yako haijawa mbaya na kuzidi kuonekana ni wa ' hovyo hovyo ' mbele yetu tuliobarikiwa ' upeo ' wa Kutukuka na Mwenyezi Mungu.
Wewe una vinasaba vya ki lemutuz unavyopenda kujisifu utakuwa unakanyagwa