Tetesi: Inasemekana hali ya Steve Nyerere yazidi kuwa mbaya aomba kama kuna aliyemloga amsamehe

Kwa maelezo yako mi naona jamaa bas yuko sahihi km we ulitaja kizaz cha pili cha hao magwiji nae kataj kizaz icho icho tatizo liko wapi??alafu akujibu kwa nia mbaya sema sijui kwanini umemind sana mkuu mambo mengine nikueleweshan tu kwa lugha nzuri!!
 
Kwani kumuita Mtu ' mpuuzi ' ni lugha mbaya? Basi ngoja nibadilishe na nimuite ' hopeless ' je umeridhika sasa?
 
Lifungue usome utajua tatizo lake

Huwa sianzishi uzi ambao una matatizo au usio sahihi ila yawezekana ni ' akili ' zako ndizo zina matatizo na pengine yakupasa uwahi mapema Milembe Hospital ukapate msaada wa haraka wa Tiba kabla hali yako haijawa mbaya na kuzidi kuonekana ni wa ' hovyo hovyo ' mbele yetu tuliobarikiwa ' upeo ' wa Kutukuka na Mwenyezi Mungu.
 
Wewe una vinasaba vya ki lemutuz unavyopenda kujisifu utakuwa unakanyagwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…