ni kweli ila hujafa hujaumbika ndugumshenzi sana huyo uvccm dhambi ya kumkebehi lowassa na kuwarubuni watanzania kuichagua ccm ambayo imeleta mateso makubw kwa watanzania acha imtafune
Duh!!! Kipindi kile sisi wa mikoani hatukujua ugonjwa uliomuuahuyo huyo mkuu
Shajing'ataHytroprrotialisscranetiass Disease...
Ninazo za mitishamba zinauwezo wa kuua hao virus acome apate tibaAsiache dawa, pole zake
duhh ukweli mtupuJamaa ana H.I V huyo siawe muwazi tu .
huyo alikuwaga nirafiki wakaribu mnoo na marehemu max nawalipokuwa wnapita wanapajua wenyew...maana max aliondolewa na ngwengwe ..
sasa nahisi ARV zimeshaanza kudunda kwake sasa anaanza kumuona mtoa roho
Hebu rudia....Hytroprrotialisscranetiass Disease...
hahaa ilikuwa zamani kaisi taarifa zilikuwa hazisambai vyema tofauti na sasa ..siwajua tena masocial network hayakuwepo..Duh!!! Kipindi kile sisi wa mikoani hatukujua ugonjwa uliomuua
'MeatCatchBones' [emoji3] [emoji87]Ugonjwa gani huo kitaalamu
Maombi ya siku hizi duhHunishindi mimi japokuwa najihisi nna dhambi aisee... anyway Mungu afanye anachotaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "wanazaliwa upya" kila sikuHakuna cha wapya wala nini Mkuu bali ni ' Wanafiki ' tu. Huwa siamini kama kuna Members wapya kivile humu JF ila ninachojua tu ni kwamba kuna wale Members ' mithili ' ya Celtel, Zain na Airtel.