freshgirl
Senior Member
- Jan 5, 2018
- 123
- 129
ni kweli ila hujafa hujaumbika ndugumshenzi sana huyo uvccm dhambi ya kumkebehi lowassa na kuwarubuni watanzania kuichagua ccm ambayo imeleta mateso makubw kwa watanzania acha imtafune
tumuonee huruma sasa kama binadamu mwenzetu
hata nape alitukana sana lakini leo yameisha, usishngae kesho lisu na magufuli ukawakuta meza moja
kuna maisha baada ya siasa