Tetesi: Inasemekana hali ya Steve Nyerere yazidi kuwa mbaya aomba kama kuna aliyemloga amsamehe

Tetesi: Inasemekana hali ya Steve Nyerere yazidi kuwa mbaya aomba kama kuna aliyemloga amsamehe

Mchawi wake ni diana astonivilla...bahati mbaya alijipumzikia....
Apambane na hali yake...kuumwa sio kufa
 
Huwa sianzishi uzi ambao una matatizo au usio sahihi ila yawezekana ni ' akili ' zako ndizo zina matatizo na pengine yakupasa uwahi mapema Milembe Hospital ukapate msaada wa haraka wa Tiba kabla hali yako haijawa mbaya na kuzidi kuonekana ni wa ' hovyo hovyo ' mbele yetu tuliobarikiwa ' upeo ' wa Kutukuka na Mwenyezi Mungu.
Sioni sababu ya wewe kujivunia kiasi hicho kuna waliokuzidi kila kitu lakini hawana mikato kama yako..
Hata kama ungekuwa na uwezo kiasi gani huna sababu za kutamba na kuleta dharau kwa wengine mkuu..

Kwa mtini jifunzeni
 
Huwa sianzishi uzi ambao una matatizo au usio sahihi ila yawezekana ni ' akili ' zako ndizo zina matatizo na pengine yakupasa uwahi mapema Milembe Hospital ukapate msaada wa haraka wa Tiba kabla hali yako haijawa mbaya na kuzidi kuonekana ni wa ' hovyo hovyo ' mbele yetu tuliobarikiwa ' upeo ' wa Kutukuka na Mwenyezi Mungu.
Nimecheka sana Leo...............Mkuu uko sahihi sana kwani humu ndani kuna baadhi ya watu Wapuuzi sana................Mwanzo nilidhani Umevurugwa................baadae nikaona kumbe uko MUKIDE.................
 
Dar es Salaam. Msanii wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema ana wiki mbili yupo kitandani huku akitaja ugonjwa unaomsumbua kuwa ni nyama kushikana na mifupa.
Steve ambaye alishawahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, amesema ugonjwa huo umemsababisha kushindwa kufanya kazi yoyote na kushindwa kutembea, huku daktari wake akimshauri apumzike zaidi.

Akizungumzia alichoandaka kwenye ukurasa wake wa Instagram wa kuomba aliyemloga amsamehe, amesema ameandika kama binadamu tu na haoni kama kuna ubaya.

“Unajua katika maisha lazima kuna watu uliwakosea, hivi mimi kuandika vile sioni kama kuna ubaya wowote kikubwa nawaomba Watanzania waniombee niweze kupona na kurudi katika majukumu yangu ya kila siku,”amesema Steve.

Ameeleza tangu aanze kuumwa mahali anapoweza kufika ni kutembea kutoka chumbani hadi sebuleni na sebuleni kurudi chumbani tena kwa kusaidiwa kutokana na maumivu makali anayoyasikia.
 
Back
Top Bottom