Ukimsikiliza yule nusura wa ajali, alivyokuwa akisimulia, kuna ukweli Fulani wa hili. Alisema, wakati wanazunguka Angani, Rubani mmoja alitoka katika chumba Cha Marubani, akaja huku kwa abiria, akamwita Air Hostes akawa anamnong'oneza kitu, Kisha akawa anachungulia nje ! Kuna uwezekano alikuwa anahakiki kama kweli, taili hazijatoka Kama Procedure zilivyo. Na yule nusura alisema Rubani alitua ziwani kwa makusudi Kabisa, kwani alikwenda ziwani kwa makusudi Kabisa, na kutua Kama yupo Airport,. Something was Long, ukweli utajulikana tu.