Imetua kawaida uwanjani au ziwani?? Tairi ziligusa run off??Ndege haikugoma kutoka magurudumu, imetua kawaida ila imepitiliza barabara ya kurukia. Sababu ziko nyingi tu zinazoweza kusababisha hayo kutokea na hii siyo mara ya kwanza na haitokuwa ya mwisho zinapitiliza kila siku ulimwenguni kote, kwa sababu tofauti.
Mkuu huu utakuwa uwanja mwingine maana nimewahi kutua Kathmandu Airport haikuwa hivyo..Ni nadra sana ukizungumzia ulimwenguni, isipokuwa runaway moja tu ya Nepal inayoishia kwenye korongo....
View attachment 2408858
View attachment 2408857
Zinaongozwa from Mwanza control tower... Kiukweli nami nimeshangaa...Sasa ndege zinatuaje na kuondoka kwenye huo uwanja?
Najiuliza hapa hivi kwa mfano kama matairi yamegoma kuchomoka je rubani angeweza kuwatangazia abiria wake kwamba "jamani ndege matairi yamegoma kuchomoka hivyo nasubiri maelekezo zaidi from control tower"??
Uchawi,unafiki,umaskini na nidhamu ya woga.Nchi hii sijui tunaweza kitu gani
Kumbuka Ndege ilitokea Dsm, Non Stop. Possible mafuta yalikuwa yamepungua SanaYaan ndege iishe mafuta kwa kuzunguka dk 30??? We jamaa
Hao huwa wanaweka wese kidogo sijui bajeti nashindwa kujuaYaan ndege iishe mafuta kwa kuzunguka dk 30??? We jamaa
Hi sio Kathmandu AirportMkuu huu utakuwa uwanja mwingine maana nimewahi kutua Kathmandu Airport haikuwa hivyo..