Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Wana jf habari zenu? Huyu mwamba hapo pichani inadaiwa ni tapeli wa kutisha picha zake zimezagaa sana mitandaoni.
Inasemekana mwamba hukodi magari na kufoji kadi kisha kuyauza kwa bei chee kisha kumuachia msala mnunuaji, hizi shutuma nimezioma hata kwa watu maarufu wakidai kutapeliwa na huyu mwamba.
Inasemeka mwamba katika harakati zake za kutapeliwa huongozana na kijana mdogo wakiume, inadaiwa kuwa ni mwanae.