Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Aisee sio powaHahaha kama movie moja inaitwa Twisted , wanadada wawili wanapangisha nyumba halafu wanaziuza Seran Vincenzo Jr 😅
Aisee sio powaHahaha kama movie moja inaitwa Twisted , wanadada wawili wanapangisha nyumba halafu wanaziuza Seran Vincenzo Jr 😅
Mimi mvivu wa kuangalia movie hasa nikiwa peke yanguAisee sio powa
Hata mimi hasa miezi hii nimekuwa bize mno hata humu jf navizia kuingia aiseeMimi mvivu wa kuangalia movie hasa nikiwa peke yangu
Napenda kufatilia interviews
Upo busy na nini? Nipe madili hayoHata mimi hasa miezi hii nimekuwa bize mno hata humu jf navizia kuingia aisee
Unaweza kukimbia na tv ya inch 65?Upo busy na nini? Nipe madili hayo
HapanaUnaweza kukimbia na tv ya inch 65?
Ushakosa diliHapana
Nipe lingine nitakula nini mjini hapaUshakosa dili
Unaweza kulinda usiku? K4s security kuna mchongo mshahara laki na 80Nipe lingine nitakula nini mjini hapa
Kudadinyo! Labda nifanye kwa mwezi mmoja nipate mtaji wa kuuza karanga za kuchemshaUnaweza kulinda usiku? K4s security kuna mchongo mshahara laki na 80
Kudadinyo ?? Ilikua na umuhimu gani?Kudadinyo! Labda nifanye kwa mwezi mmoja nipate mtaji wa kuuza karanga za kuchemsha
Unajua hata maana yake?Kudadinyo ?? Ilikua na umuhimu gani?
Ndio mnijulishe gen zUnajua hata maana yake?
Kudadeki/Kudadinyo - DuuhNdio mnijulishe gen z
Sio mbaya nenda ofisini kwao mikocheni pale upewe gwanda uanze lindo mie nitakuwa supa vaiza wako sikuamishi vituo hovyo😎😎Kudadinyo! Labda nifanye kwa mwezi mmoja nipate mtaji wa kuuza karanga za kuchemsha
Nataka lindo langu liwe nyumbani kwa tajiri ili nipate msosi wa bure na poshoSio mbaya nenda ofisini kwao mikocheni pale upewe gwanda uanze lindo mie nitakuwa supa vaiza wako sikuamishi vituo hovyo😎😎
Poa nakupa site ya TPA tower pale uwe unakula vyakula mixer posho za hapa na paleNataka lindo langu liwe nyumbani kwa tajiri ili nipate msosi wa bure na posho
Au nakuchagulia ya huku kigamboni 😎Nataka lindo langu liwe nyumbani kwa tajiri ili nipate msosi wa bure na posho