Inasemekana huyu mwamba ni tapeli wa kutisha, kuna yeyote anamfahamu?

Inasemekana huyu mwamba ni tapeli wa kutisha, kuna yeyote anamfahamu?

Unadhani hapo hatumii jasho na maarifa, anakaa chini anafanya research of a target to hit then strategies and then execution. Ikifika ya 40 ndiyo ajali kazini hiyo kama hana za kuhonga anachezea mvua zake kadhaa, kula na kulipa lakini cha kwanza anachoangalia ni kuwa watoto wasilale njaa.
Tunaibiwa daily na akina Samia, Rostam, Mwigulu, Kikwete na mafisadi wenzao huyu ni mdokozi tu anatafuta mkate wa watoto.

Anaacha kuibia bank huko anaibia walala hoi wenzake, Huyo ni msemge tu.
 
Unaonaje ukinipa ya Twin tower nitumwe maandazi na wafanyakazi wa Aidan wanipe posho na jumatano mchana pilau kuku kama kawa
Naam hapo tukitoka mikocheni nakupeleka chapu na bike lenye wese la free kutoka k4s sasa afu nitakuwa nakuamisha twende mbezi kimara ukazibe gape maafande kule wanaacha kazi 😎
 
Mtapeliwaje kiboya dunia ya leo!
 
Anaacha kuibia bank huko anaibia walala hoi wenzake, Huyo ni msemge tu.
Wizi una categories, si lazima wote waibe bank na si wote wana uwezo na maarifa ya kuiba bank. Cha muhimu ni kupata anachokitafuta. Akishikwa ajutie ila anapopata kwake na familia yake it's well and good japo kwa mazoba anaowatandika inabaki kuwa vilio.
 
Hahaha hajakutana tu na mjanja mwenzie akamfundisha adabu tena mbaya zaidi muhuni ana mitako mikubwa hivyo wallah nimemuonea huruma sana
Makorongwee(makolo) huwa hawaishi na 'wasanii' nao hawaishi, kichekesho ni kwamba wapigaji wengi most of the time unakuta wana maisha zaidi ya makorongwee. Utapeli si kwamba uko Afrika peke yake, nje ya Afrika ndiyo kuna vimbwanga vilivyopitiliza.
 
Nilienda kituo Fulani cha Polisi baada ya kutapeliwa. Mkuu wa kituo alinionyesha picha za matapeli wanao watafuta. Kama kati ya hizo atakuaemo alie nitapeli. Niliona picha Nyingi sana. Ya huyu ilikuwemo. Pia Nilipata story Nyingi za matapeli Nyingine Zina chekesha na Kuhuzunisha. Mfano Kuna Mganga kutoka Bagamoyo amekamatwa na jeneza ambalo Alikua anatumia kutapelia watu. Ukienda unashid ana kwambia ili shida yako iishe ulale kwenye jeneza kama huwezi akugonge, utapata unacho hitaji. Sasa mkuu aksnionyesha hao walio liwa na mganga ni pisiiiii za maana ndo zimeenda kumshitaki mganga. Mimi nilitapeliwa na Fundi garage.
 
Aina hiyo ya Kamba za Nguo naweza kupata wapi?
 
Hii kama huwezi kulala kwa Jeneza, ANAKUGONGA! Hata Wanaume ama Only Mademu?
 
Hahaha kama movie moja inaitwa Twisted , wanadada wawili wanapangisha nyumba halafu wanaziuza Seran Vincenzo Jr 😅
Mama yake petii money hiyo ndio michezo yake

Mpaka kwenye magari ana kupiga vibaya sana

Bi-mkubwa wa petii money alishawahi kumtapeli mwanangu gari na Kila alipo kwenda kushataki hakuwahi kupata msaada oysterbay police wote wanamjua
 
Waache hao wanaotia huruma eti wanataka hak mahakaman na wakat wewe masikin watasubir SANA

Ndio maana kila siku wanadhan wanaopotea eti n siasa TU

Bado hayajawakuta hao
Me pia huwa naamini wengi wanapotea sio sababu ya siasa.
 
Back
Top Bottom