Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Haiwezekani ukawa uzushi itakua kweli maboya ni wengiHuko Instagram amezagaa sana asee kama ni uzushi watamlipa pesa nyingi sana
Sheria inatakiwa kufuata mkondo sio kukata kichwaBaadae mkikuta miili inaelea beach haina kichwa, mnaanza kuilaumu serikali.
Jitu kama hili sio la kukatiwa RB
PointBaadae mkikuta miili inaelea beach haina kichwa, mnaanza kuilaumu serikali.
Jitu kama hili sio la kukatiwa RB
Sheria inatakiwa kufuata mkondo sio kukata kichwa
Mkuu usichokijua ni sawa na usiku wa giza. Matapeli wengi wa mjini wanajua kucheza na matobo pamoja na mapungufu ya Sheria za nchi.Hyo sheria itaanza kutumiaka baada ya mtu kukatwa kixhwa.
Huwezi kujifanya mafia unatapeli kila mtu, una watu kila kituo cha polisi na mahakama, halafu sisi ndo tufuate sheria?
Mtu akiwa tapeli au Mafia ilo haliwezi kuzuia sheria kufanya kazi suala la sheria kufanya kazi liko pale pale mtu akifanya makosa mamlaka zifanye kazi yake sheria zichukuliwe sema nchi zetu rushwa na uwajibikaji ndo tatizoHyo sheria itaanza kutumiaka baada ya mtu kukatwa kixhwa.
Huwezi kujifanya mafia unatapeli kila mtu, una watu kila kituo cha polisi na mahakama, halafu sisi ndo tufuate sheria?
Sick twisted individualBaadae mkikuta miili inaelea beach haina kichwa, mnaanza kuilaumu serikali.
Jitu kama hili sio la kukatiwa RB