Inasemekana huyu mwamba ni tapeli wa kutisha, kuna yeyote anamfahamu?

Mbona huwa namuona anahudumu kanisa la KKKT mkoa fulani
 
Shehe yalimkuta ya kumkuta na sasa amejifunza akajua baada ya miaka 2 kila kitu kitakua kimeisha na umeshapotea au umeshakufa kumbe wewe bado upo na jambo lako unasubiria timing umalize mchezo
Kwa mtu anayetumia mgongo wa dini kutapeliwa WATU hata akiliwa jicho hata shetan anakupongeza

Kaka Dunia n uwanja wa fujo hak ipo mbinguni ukijifanya mwema utaishia kula dagaa Michele
 
Dawa yao ni ile ile watu wakasumba lesa wanaijua kwa watu kama hao. Wazee w road tuko pamoja. Cha mtu Mavi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mlongo kwenye swala linalohusu haki yangu mm sina mzaha na nisongefika hapa nilipo kaka unaish kwenye mj ambao huna. ndugu halafu unatafuta huruma hak hulipwa kwa hak ubaya hulipwa kwa ubaya

Kaka unapanda dhambi unataka uvune pepo?
Nakuelewa vizuri aisee inauma ,ni kuwapelekea moto tu
 
Unadhani hapo hatumii jasho na maarifa, anakaa chini anafanya research of a target to hit then strategies and then execution. Ikifika ya 40 ndiyo ajali kazini hiyo kama hana za kuhonga anachezea mvua zake kadhaa, kula na kulipa lakini cha kwanza anachoangalia ni kuwa watoto wasilale njaa.
Tunaibiwa daily na akina Samia, Rostam, Mwigulu, Kikwete na mafisadi wenzao huyu ni mdokozi tu anatafuta mkate wa watoto.
 
Waache hao wanaotia huruma eti wanataka hak mahakaman na wakat wewe masikin watasubir SANA

Ndio maana kila siku wanadhan wanaopotea eti n siasa TU

Bado hayajawakuta hao
Ndio ipo hivyo mkuu inatokea sana hio mtu umemfanyia ubaya anakupimia miaka tu utakapohisi tu kwamba amesahau hapo ndipo kaburi lako lilipo
 
Hahaha hajakutana tu na mjanja mwenzie akamfundisha adabu tena mbaya zaidi muhuni ana mitako mikubwa hivyo wallah nimemuonea huruma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…