Inasemekana huyu mwamba ni tapeli wa kutisha, kuna yeyote anamfahamu?

Matapeli kama hao wapo wengi mno,wengi kwenye udalali wa magari na viwanja,kuna mmoja kawaliza watu wengi mno goba,bunju n.k,viwanja fake,anawauzia hadi polisi kiutapeli na walikua wanamshindwa,mwaka jana aliingia kwenye 18 za baka baka,jamaa alimtembezea kichapo hadi akajifanya amekufa πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…