Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

Nimewahi kuonana naye Mwaka Jana, the Old Man wants to Compete for the higher Position.

And seems nyuma yake kuna watu wana muunga Mkono in Silent mode.

Mwingine ambaye nimewahi kuonana naye ni Mzee wa Kuwapeleka Wana Kawe USA, huyu ameshazunguka zaidi ya Wilaya 85 hadi 100 kufikia sasa, na target yake nahisi itakuwa ni hiyo hiyo kuungwa Mkono.

Nahisi kuna watu wana mission zao kuelekea 2025. Mama should put her eyes everywhere kama bado ana mpango wa kuendelea
 
Sasa hivi mnamwogopa kila mtu

Lukuvi ni presidential material na ni mwaminifu, binafsi namtakia kila lakheri kama ni kweli!

Au hupendi?
Labda rais wa mateja
 
Si jambo baya, Ni haki yake kikatiba.Binafsi ninamkubali sana na ninamtakia kila la kheri.

NB: Binafsi kuliko kumpigia kura Suluhu bora nikatupe kura yangu mtoni
 
Miaka 10 ndiyo inaishia 2025 mambo ya kupeana yamesitishwa kwa muda.
 
Gwajima hana mpango na urais. Kazi anayoifanya ni kwa ajili ya mtu mwingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…