Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

Lukuvi anafaa 100% kugombea Urais 2025!
 
Paramagamba
Lukuvi.. wameshastaafishwa siasa, Hana anayeweza kumpigia kura huko CCM. Vya vya Afrika kupitia wanachama wao hawana ubavu wakumtosa Mwenyekiti ambaye ndiye mgombea wao.
 
Ukimtaja lukuvi unanikumbusha padre salvatory wa migoli unanikumbusha kuisha kwa Tembo unanikumbusha namna pembe za ndovu zilivokuwa zikipakwa rangi na kusafirishwa nje,unanikumbusha ulichongwa mtumbwi mkubwa mchana unawavusha watu kwenda kilamba kitali na mlazo kwa bei nafuu usiku unarudi na pembe za ndovu mwacheni mama apige minane hiyo iliyobaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…