Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Lukuvi anafaa 100% kugombea Urais 2025!
 
Paramagamba
Lukuvi.. wameshastaafishwa siasa, Hana anayeweza kumpigia kura huko CCM. Vya vya Afrika kupitia wanachama wao hawana ubavu wakumtosa Mwenyekiti ambaye ndiye mgombea wao.
 
Amekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Ukimtaja lukuvi unanikumbusha padre salvatory wa migoli unanikumbusha kuisha kwa Tembo unanikumbusha namna pembe za ndovu zilivokuwa zikipakwa rangi na kusafirishwa nje,unanikumbusha ulichongwa mtumbwi mkubwa mchana unawavusha watu kwenda kilamba kitali na mlazo kwa bei nafuu usiku unarudi na pembe za ndovu mwacheni mama apige minane hiyo iliyobaki.
 
Back
Top Bottom