Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

Gwajima hana mpango na urais. Kazi anayoifanya ni kwa ajili ya mtu mwingine kabisa.
Huenda ikawa hivyo, ila anapita kila Wilaya kukutana na Viongozi wa Chama kusaka kuungwa mkono yeye au mpambe wake.

Usikute anamfanyia kampeni Mama mwenyewe au mtunza Kibubu chetu manake naye ana huo mpango kitambo
 
Lukuvi ni jembe la nguvu toka enzi na enzi!! Namshauri mama aendelee kulitumia!, asiwaache wapinzani waidake hii dhahabu!!
 
Mbona Kinana aliwahi kutuhumiwa hivyo pia?
 
Afukuzwe CCM mapema!
 
Kwani ccm wanaruhusu Rais wao mwenye fursa ya kuendelea kupingwa ndani ya chama?
Fomu ya kugombea ndani ya chama kutolewa na katibu mkuu, kwa hiyo unataka kusema Chongolo ata risk ugali wake au?
Acha ramli chonganishi.
 

Kura yako haina thaman
 
Ujinga wako peleke huko,kama ni siri wewe umejuaje ndezi wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…