Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Dedikation - wimbo wa ... "Uzuri sio sura ma'Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhaniBali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani ... "
 
Kuna watu waneandeshwa Kwa hisia sana. Akisimuliwa kuhusu 'mchezo' hajiulizi maswali ya msingi...anaingia tu na kutuma pesa.
 
Mariam wanamuonea tu aachiwe serikali ina mengi sana ya kutufanyia pamoja na hao polisi.

Kwa wanawake na mtaani kuna hela sana.
Mfano kuna kikundi wamama tunatoa elfu 20k wako 65 kila mwezi na hiyo pesa nakaa nayo muhasibu mimi sasa, mpaka mwezi wa 12 na hiyo pesa huwa tunafanya sherehe na kupeana zawadi tu.
Ikitokea msiba elfu 50 sherehe 100k na kila mchango nakata 20 ya kutunza pesa hao wamama wengi ni wasomi hapo.
We ukipata gepu piga hela Tanzania kuna hela sana ukiipatia.
Mariamu asionewe wivu kutumia akili yake
 
Maisha yalivyo magumu, naheshimu yeyote anayetafuta pesa.
 
Tanzania fursa zipo nyingi utajiri ushindwe wewe,kuna fursa za watu wajinga wajinga rasilimali watu ndio hawa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…