Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

Mariam wanamuonea tu aachiwe serikali ina mengi sana ya kutufanyia pamoja na hao polisi.

Kwa wanawake na mtaani kuna hela sana.
Mfano kuna kikundi wamama tunatoa elfu 20k wako 65 kila mwezi na hiyo pesa nakaa nayo muhasibu mimi sasa, mpaka mwezi wa 12 na hiyo pesa huwa tunafanya sherehe na kupeana zawadi tu.
Ikitokea msiba elfu 50 sherehe 100k na kila mchango nakata 20 ya kutunza pesa hao wamama wengi ni wasomi hapo.
We ukipata gepu piga hela Tanzania kuna hela sana ukiipatia.
Mariamu asionewe wivu kutumia akili yake
Nyie mna vikoba vya kusaidiana shida na raha hivyo vimeruhusiwa ila kufanya upatu ni kosa kisheria hapo wote wanahusika hao walalamikaji na walalamikiwa.
 
Jamani jumatatu mchezo unaanza tupo sita tunatoa laki mbili kila siku anatoka mtu siku ya tatu

Ubabaivu sitaki, na shughuli ya mwanangu kumaliza la saba nataka nifunge mtaa,,

Me ndo wa kwanza kupokea
 
duh bongo bahati mbaya sana kwahiyo mtu akiwa tu muuza baa malaya mchekeshaji sijui nini basi ashakuwa maarufu, sasa mtu wa nmna hiyo ana impact gani kwa jamii? unaweza kuwa muuza uji tu unaitwa maarufu, mambo ya msingi hakuna anayefuatilia , nchi inaliwa mande mbele na nyuma watu wanafuatilia maisha cheap ya watu tu.
 
Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao.

Pia soma:
~
Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi kuwadhulumu pesa zenu
~ Mariam Uswazi: Ikitokea nimekufa kisa albadiri mtajiskiaje?
Mbona Buludoza na wenzake hawakamatwi huku wakibeba ndululu kwenye viroba!
 
duh bongo bahati mbaya sana kwahiyo mtu akiwa tu muuza baa malaya mchekeshaji sijui nini basi ashakuwa maarufu, sasa mtu wa nmna hiyo ana impact gani kwa jamii? unaweza kuwa muuza uji tu unaitwa maarufu, mambo ya msingi hakuna anayefuatilia , nchi inaliwa mande mbele na nyuma watu wanafuatilia maisha cheap ya watu tu.
Significant Cognitive limitation is 100% in TZ
 
Back
Top Bottom