rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Nyie mna vikoba vya kusaidiana shida na raha hivyo vimeruhusiwa ila kufanya upatu ni kosa kisheria hapo wote wanahusika hao walalamikaji na walalamikiwa.Mariam wanamuonea tu aachiwe serikali ina mengi sana ya kutufanyia pamoja na hao polisi.
Kwa wanawake na mtaani kuna hela sana.
Mfano kuna kikundi wamama tunatoa elfu 20k wako 65 kila mwezi na hiyo pesa nakaa nayo muhasibu mimi sasa, mpaka mwezi wa 12 na hiyo pesa huwa tunafanya sherehe na kupeana zawadi tu.
Ikitokea msiba elfu 50 sherehe 100k na kila mchango nakata 20 ya kutunza pesa hao wamama wengi ni wasomi hapo.
We ukipata gepu piga hela Tanzania kuna hela sana ukiipatia.
Mariamu asionewe wivu kutumia akili yake
Huyu Mariam ana jumba zuri la ghorofa kigamboni.Kuna sura ukiziona unajua huyu tapeli tu.
Daslamu kuna mazombi mengi ya kuyavuna pesa.Huyu Mariam ana jumba zuri la ghorofa kigamboni.
Chooni kaweka tv 55'
Wote walindwe.Wanaume je wasilindwe?
Huyo binti kuna jamaa wanamlinda, maana nimeanza kusikia malalamiko kitambo sana.Hao wacheza michezo hawapaswi onewa huruma
Mbona Buludoza na wenzake hawakamatwi huku wakibeba ndululu kwenye viroba!Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao.
Pia soma:
~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi kuwadhulumu pesa zenu
~ Mariam Uswazi: Ikitokea nimekufa kisa albadiri mtajiskiaje?
Mwanaume mjinga asilindwe hata robo, huyu awe case study ya wengine.Wanaume je wasilindwe?
Significant Cognitive limitation is 100% in TZduh bongo bahati mbaya sana kwahiyo mtu akiwa tu muuza baa malaya mchekeshaji sijui nini basi ashakuwa maarufu, sasa mtu wa nmna hiyo ana impact gani kwa jamii? unaweza kuwa muuza uji tu unaitwa maarufu, mambo ya msingi hakuna anayefuatilia , nchi inaliwa mande mbele na nyuma watu wanafuatilia maisha cheap ya watu tu.