Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hii itasaidia kuondoa propaganda kuwa CHADEMA wanapokea kila mtu anaefukuzwa CCM maana wapotoshaji hawaelezi wananchi sababu hasa za watu kuhama au kufukuzwa CCM bali hoja yao ni wasaliti.
Nape wala usihangaike kwenda mahakamani bali hamia tu ACT kisha CHADEMA mumuunge mkono kwa kutosimamisha mgombe yoyote katika jimbo hilo bali mumuunge mkono kupitia ACT-Wazalendo.
Adaui yetu mkubwa kisiasa ni CCM na mfumo wake kuliko Nape alieshabikia "goli la mkono" na kuzuiwa kwa Bunge live maana hapo alikuwa anatekeleza kazi ya system.
Hata hivyo, ushauri huu utakuwa na maana iwapo ni kweli Nape atakuwa amevuliwa uanachama wa CCM.