Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Ingekuwa ni mimi nape kama nikweli natimuliwa zile za kunyapiaa tuu haijatangazwa me nawawahii kuwa nimejitoa kwenye chama cha makinikiaa fastaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nape itakuaajabu ipi kama ikitokea kufukuzwa sio wa kwanza kufukuzwa hata akina zito walikua maarufu na wa hamasishaji wakafukuzwa na bado chama kikapeta itakuwa nape ccm
 
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...

Habari hizi ni za kunyapia nyapia zinasema hata Lazaro nae yuko matatani.


Wamfukuze hlf afunguliwe kesi, hkn Ubunge, patamu hapo na yeye ataanza kubeba mikoba ya Mbowe na kutumwa Machame!
 
Kwani nani kasema sekretarieti iko chini ya Mangula?!
Kwani hii ID mnaitumia watu wangapi hapo Lumumba? Maana inaonekana kila mtu anaandika la kwake. hapo chini imeandikwa kwamba Mangula ndiye pekee kabakia kwenye sekretarieti mpya, hapo juu inaulizwa wapi pameandikwa kama nani kasema Sekretarieti iko chini ya Mangula.

Kwenye sekretarieti wa zamani kabakia Mangula tu

CC:

BAK
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom