Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Siyo nape tu! Ni watu kibao! Imeenea mtandaoni kwa whassap zaidi ya masaa manne
 
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...
habari hizi ni za kunyapia nyapia zinzsema hata Lazaro nae yuko matatani....

Mod msiutoe huu uzi,habari hizi ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa ya Chama...


Ngoja nifungue Whisky!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom