Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Btw where is Makamba
hebu wekeni hapa tuone huyo mfalme mwitu kawafukuza wangapi leoSiyo nape tu! Ni watu kibao! Imeenea mtandaoni kwa whassap zaidi ya masaa manne
tulipokuwa tunamshauri nape akae kimya ilikuwa ni kwasababu ya comment kama hii...mtu huyu ndo mmoja ya wale ambao walikuwa wanasema nape sasa ''amepata akili''. akishafukuzwa haya ndo yatakuwa maneno yao!Acha watumuane hadi akili ziwakae sawa..
Sio kwa sasa... Muhim zaid ni polepole kwa wakat huu maana akili ziko flexible kulingana na vituko vya boss wakeSiyo rahisi.Nape mtu muhimu sana kwenye Chama chetu
Ndio maana Kinana ameamua kukaa pembeni..
Hawezi fanya kazi na dhalimu..
Hata kwenye kikao cha leo hakuwepo.