Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...
habari hizi ni za kunyapia nyapia zinzsema hata Lazaro nae yuko matatani....

Mod msiutoe huu uzi,habari hizi ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa ya Chama...
Of coz nape should stape out and we will see. Ujinga hatutaki.
 
Analipwa kwa alichopanda. Hecco km ni kweli....

Hata Nay wamitego ameimba..utalipwa ulichopanda, na iwe kweli. Maana hizo dhurma kwa watanzania hata sijui atatubia wap
Alizunguka kumtukana mzee wa Monduli kumleta asie jaribiwa sasa kama ni kweli jamaa wa magogoni hana muda. Maana NAPE alipambana mno
 
Acha itokee watu wapumbavu kama hao wanatakiwa kufukuzwa ili wengine wajifunze,

Waligeuza nchi yao hii kejeli kwa wenzao kila kukicha

Pasipo kujua dunia hii haina mwenye nayo


Nasema hivi wacha wafukuzwe tena watoke kabisa na wengine washaanza kudai katiba mpya

Wapumbavu ndo wameifikisha nchi hapa
 
Nape huyu huyu wa bao la mkono? Hahahaaaa wacha atimuliwe tu maana ana maneno mengiiiiiiiii!! Hasa nikikumbuka 2015 .
Waswahili wanamsemo wao unaosema "Yaliopita ni ndwele tugange yajayo"....nafikiri umenifahamu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom