Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...
habari hizi ni za kunyapia nyapia zinzsema hata Lazaro nae yuko matatani....

Mod msiutoe huu uzi,habari hizi ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa ya Chama...
Umenikumbusha maneno ya Bwana Yesu, aliseme " kama wanayafanya haya kwa mti mbichi, kwenye mti mkavu itakuwaje? "! Usiku mwema.
 
IMG-20170927-WA0012.jpg
 
Acha itokee watu wapumbavu kama hao wanatakiwa kufukuzwa ili wengine wajifunze,

Waligeuza nchi yao hii kejeli kwa wenzao kila kukicha

Pasipo kujua dunia hii haina mwenye nayo


Nasema hivi wacha wafukuzwe tena watoke kabisa na wengine washaanza kudai katiba mpya

Wapumbavu ndo wameifikisha nchi hapa
kweli kabisa yakishaanza kuwakuta labda watajifunza.walidhani wanayo hati milki ya nchi hii. Magufuli fukuza wote. hili ni somo kwa wanaonendelea kutema mbovu ndani ya chama chakavu ccm
 
Jamani SA palikuwa na mtu anaitwa Malema aliwapa hard time viongoz wa Anc lakin alivuliwa uwanachama kiuhalisia Malema is very smart than Nnape sasa mim nauliza kama kweli Nnape amevuliwa uwanachama mbona sina uwakika kama ataweza kufurukuta mtaani maana atakuwa kakatwa miguu na mikono bd thing hayupo smart nawambia let us nbe cool Nnape hawezi kukivuruga chama nawaambia hawezi na ninauwakika huu ndio mwanzo wakuimarisha chama.
Hembu amka kwanza una tusikilizisha ndoto zako usilale karibu na simu
 
Kama ni kweli ngoja tuone Kinana atafanya nini maana huo ndio ulikuwa mkono wake wa kulia.
Naanza kuhisi katika vikao hivi tunaweza kusikia msomali kaomba kupumzika kwa matatizo ya afya.
 
Nape haya ndio majibu ya " bao la mkono" mnaongeaga kama mmekatwa vichwa. safi sana magufuli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom