Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbiti, tumainiel si ni ccm?nakumbuka alikuwa vocal sana humu
Mbona una comment huku unatetemeka? Nini kimekusibu?Hii habari imeandikwa masaa yamepita sasa na watu.. na majina yao yanazurura kwa screenshots Whatsapp..
Nape tunampongeza lakini pia lazima tumkumbushe matendo yake akiwa anakula maziwa na asali hayakuwa mazuri.na hili ni funzo hata kwa nyie mliobaki kwenye lori la magufulitulipokuwa tunamshauri nape akae kimya ilikuwa ni kwasababu ya comment kama hii...mtu huyu ndo mmoja ya wale ambao walikuwa wanasema nape sasa ''amepata akili''. akishafukuzwa haya ndo yatakuwa maneno yao!
wanaojifanya kumtia kiburi nape cha kuendelea kutofautiana na wakubwa wake hawana upendo wa kweli kwake,...kikubwa wanachohitaji ni kuona mambo yanaharibika kama hivi tu basi!!Unataka kusemaje!??
naomba unitumieHii habari imeandikwa masaa yamepita sasa na watu.. na majina yao yanazurura kwa screenshots Whatsapp..
😀😀😀Nape tunampongeza lakini pia lazima tumkumbushe matendo yake akiwa anakula maziwa na asali hayakuwa mazuri.na hili ni funzo hata kwa nyie mliobaki kwenye lori la magufuli
Haiwezekani!Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...
habari hizi ni za kunyapia nyapia zinzsema hata Lazaro nae yuko matatani....
Mod msiutoe huu uzi, habari hizi ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa ya Chama...
Hiyo ni kweli na kuna mpango pia wa kumwondoa Bashe na Msukuma Geita
Kwa kosa gani?Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...
Habari hizi ni za kunyapia nyapia zinasema hata Lazaro nae yuko matatani.
Nape hapa karibuni anaonekana kama alikua anapush hili litokee