KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Sitaki kuandika maneno mengi ila nitaomba jambo moja tu lifanywe na mh. Nape pale utakapo fukuzwa chama cha Mapinduzi, nalo ni kuunda chama cha siasa.
Nakuhakikishia ukijipanga vizuri tupo vijana wengi tutakuwa na wewe bega kwa bega kujenga chama chetu kutoka vumbini mpk juu kwenye neema.
Narudia haya maneno nchi hamna chama chenye dhamira na mkakati kabambe wa kuiondoa ccm zaidi wamekaa kimkakati kujinufaisha wao kwa wao.
Tafuta vijana tena wasomi tumekwama kwenye mifumo kandamizi tunahitaji kuonesha hasira zetu juu ya hawa wakoloni weusi.