Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

hiyo kuhusu dini sijawahi kusikia ila unaweza ku-conclude tu kama wachaga wanafanya hivi je wachaga majority ni dini gani? ukipata jawabu hapa utaijua hiyo dini inayofanya hivi sababu itakuwa pia imefumbia macho baadhi ya mambo machafu kama haya ndio maana yanafanyika
 
Elimu yako ya mwisho tafadhali

Tusijetenda dhambi
 
NA YALE MAJI TUNANANAWA MNAKUSANYA KWENYE PIPA MSIBAN NA ZILE SEVIETTE WAHAYÀ HUWA MNAZIPELEKAGA WAPI
SAMAHAN KUULIZA??
 
hilo nalo neno anzishia thred plz
Wachawi waleemkuu awaxhelewi kunimaliza hii michezo nimeiona sana misiba ya wahaya wakubwa huku mbezi beach na unakuta ana nyumba masaki analeta na mabasi mnajazana mpaka masaki na kurudi#$ hapo wanataka yale maji na sevieti zenu....
 
Tamaduni ya watu was Malawi .... Maji aliyoogeshwa Maiti mnakuja kuchanganyiwa kwenye chakula.
Baada ya Msiba kati ya wale mlioshiriki chakula anarudisha ID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…