Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

Katunzi alisema ndio Life yako imekwenda na maji😂
💯 ndugu acha tu mji mbaya huu sanaa

Kuna boss mmoja kila mwaka anakodisha friends 2 wanaja ndugu na majiran anaenda bukoba kufanya party kubwaaa kinachotokea vijana wanapewa kazi za kukusanya sevieti na wengine maji tu

Mwakajuzi nikaenda kiborilo nkakuta makubwaaaaaa acha mfanyabiashara mkubwa kakusanya kilimanjaro 2 kalaza ngombe 5 Michele kama kawaaaa

Kufika unanawa unashangaa maji yakijaaa yanaenda kupelekwa kwenye pipa kha hata sikuendelea kukaa nkahisi wakinikosa hapa wanapiga kwenye chskula kumbe na sevieti wanaziokota kututengeneza

Usionee ufanikiwi unafilisika sioo kila sherehe misiba ya kuhudhuria mingine .....ntarudibadae
 
Hesabu Kali Sana huwezi kuzielewa Kama sio mjuzi was michezo.
 
Mtafanya tusile sasa msibani.
 
Utakuwa mchawi au mganga
 
Baada ya kuvimbiwa naona unakuja na hoja zisizo na uthibitisho, ulichoandika ni chao tena haina sukari wala vitafunio. Chuki ni masikini, chuki ni laana, chuki ni upofu, chuki ni ujinga, chuki ni ushirikina. Tafuta pesa kijana achana na CHUKI.
 
Kwa akili hizi bora uwahi tu kwa Mwamposa ukajumuike na wenzio....dah, kweli safari ya kumkomboa mwafrika kifikra bado ndefu sana!
 
Moderator nyuzi kama hizi zenye mambo ya kutunga na kuleta taharuki na kusambaza chuki yenye ku-target jamii fulani zinawezaje kuendelea kuwepo na mtoa nyuzi akawa salama?
acha kashfa bro sisi hatutukani mtu hapa tuna expose baadhi ya mila hatarishi zinazotuathiri sisi ambao sio wachaga kama zingekuwa zinawahusu wenyewe tusingewazungumzia lakini zinatugusa sababutunakwenda kula kwenye misiba hiyo kwa wema wetu lakini tunaripwa ubaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…