Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

nimekoma biashara ya kwenda kula misibani ntakuwa nasubiri wakati wa kuzika tu nitahudhuria
QUOTE="Sakizia, post: 50695202, member: 364824"]
bro i.m sure with it,kama nyie ukoo wenu hamfanyi wengine huwa wanafanya
[/QUOTE]
Taja huo ukoo unaofanya huu ujinga.
 
Hii ipo kwa watu wa Tanga na Moro na kuna nyuzi humu zinaeleza haya.
 
Du ... siiamini habari hii kwa sababu mbili.
Kwanza sijawahi kuisikia.
Pili, wakila uchafu toka kwa maiti, kama maiti ina kipindupindu au gonjwa lolote la kuambukiza, si watu watafutika kwa maelfu?
Hii si kweli.
 
Baada ya kuvimbiwa naona unakuja na hoja zisizo na uthibitisho, ulichoandika ni chao tena haina sukari wala vitafunio.
Chuki ni masikini, chuki ni laana, chuki ni upofu, chuki ni ujinga, chuki ni ushirikina. Tafuta pesa kijana achana na CHUKI.
tushawzoea nyie mkiambiwa ukweli mnadai mnachukiwa ila ukweli lazima muambiwe MNATUUMIZA WENZENU jamani wema wetu ndio unaotuponza kwa kweli
 
ni imani tu za kizamani ambazo hazina matokeo, unachotakiwa kuogopa hapa ni kula chakula kichafu tu, laana haisambai kama wanavyoamini.
 
Ila ufunge suruali na mpira kwa chini lolote linaweza kutokea punde si punde .
Mbege hainaga hiyo, labda kimpumu 😹

Mbege hiyo nikiendaga kwa bibi tunakunywa sana, na tuna mix na castle lager au safari
 
Mbege hainaga hiyo, labda kimpumu 😹

Mbege hiyo nikiendaga kwa bibi tunakunywa sana, na tuna mix na castle lager au safari
Dah πŸ˜‹πŸ˜‹ ila mbege nzuri usichanganye unakunywa hata sado na nyama nyingi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…