Inasemekana wanaume wenye sehemu kubwa za siri huwa wanapatwa na tatizo la uwezo mdogo wa akili

Inasemekana wanaume wenye sehemu kubwa za siri huwa wanapatwa na tatizo la uwezo mdogo wa akili

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Kuna jambo ambalo linasemwa lakini halijafanyiwa utafiri kamili, kwamba mara nyingi wanaume wenye sehemu kubwa za siri uwezo wao wa akili huwa ni wa wastani au unakuwa chini, hasa wanapokuwa wamesisimka (kuwa sexually aroused). Na inasemekana kwamba hili ni tatizo linalotokea kwa kuwa wanaposisimka damu nyingi hutumika kwenda sehemu za siri na kusababisha upungufu wa damu kwenye ubongo kwa wakati huo.

Madai yanaendelea kuwa ukichunguza sana, utaona kwamba wengi wa wale wanaobaka watoto wadogo na kuwaharibu, au kubaka watu wazima, au kuwamwagia wanawake mbegu za kiume kwenye vyombo vya usafiri kunapokuwa na mbanano, au hata wanaoingilia vichaa, wanyama kama kuku, mbuzi nk, mara nyingi huwa na sehemu kubwa za siri zinazofanya akili isifanye kazi sawasawa wanapokuwa wamesisimka, na kufanya vitendo hivyo vya aibu. Na wengi wanaishia kusema nilishikwa mfadhaiko au kuingiliwa na ibilisi sikujitambua nilichokuwa nafanya.

Na habari zinaonyesha kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri, kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri wanapokuwa wamesisimka, wapo katika hatari zaidi ya kuambukizwa magonjwa ya ngono kama AIDS kwa kuwa huwa hawana uwezo wa kufikiria hatari hizo wakishasisimka. Inasemekana kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri ni rahisi pia kuchepuka nje ya ndoa. Ni baada ya kumaliza kufanya tendo na damu kurudi kwenye ubongo ndio wanaanza kujutia kitendo walichofanya bila kinga au tahadhari.

Wengi wanasema hili limesababisha kuwepo kwa msemo kwamba mwanaume alipoumbwa alipewa akili na sehemu ya siri, kwa masharti kwamba hawawezi kuvitumia vyote viwili kwa wakati mmoja - lakini tatizo lipo zaidi kwa wanaume wenye sehemu kubwa za siri.

Jumuia ya madaktari, tunaomba mfanye utafiti zaidi katika hii theory ili ukweli ujulikane

Kwa wanaume wenye sehemu ndogo au za kati za siri, huenda mna blessing in disguise bila kujitambua.
 
No research,no right to speak....anyway inawezekana haupo Sana mbali na Ukweli
Una mume au boyfriend? Muulize swali ndogo tu la kufikirisha wakati amesisimka, na umpime kutokana na jibu lake, halafu linganisha na size yake ufanye judgement

Ulishasikia wanaume wanaahidi kumnunulia mtu Dreamliner wakati wako kwenye kilele? Ndio hapo sasa.

In fact, wanawake wengi wanaitumia sana hii phenomenon, toka enzi za mama zetu na leo, kudai kununuliwa kanga au IST wakati unajua mwanaume yuko ulimwengu wa juu!
 
Ni damu kiasi gani huenda kwenye uume hadi kusababisha upungufu kwenye ubongo?
Swali zuri sana. Kawaida ubongo unahitali 750ml za damu kwa dakika ili uwe katika hali nzuri ya kufikiri. Na mtu mwenye size ya kati anahitaji kiasi cha 130ml za damu ili uume usimame. Sasa kumbuka, mara nyingi, ukiwa una msisimko huku umesimama, tayari kwa kiasi fulani umepunguza urahisi wa damu kupanda juu kichwani, ndio maana watu wengine wanapata kizunguzungu.

Na zaidi, unaposisimuka, sio sehemu za siri tu zinachukua damu. Hata misuri ya miguuni, mapafu, moyo unadunda zaidi, vinahitaji oxygen zaidi. Labda tuseme itabidi kupunguza damu kwenye kwenye ubongo kutoka 750ml kwa dakika hadi 400ml kwa dakika. Lakini sasa huyo ni mtu wa size ya uume wa kawaida. Ukiwa na saizi kubwa labda ndipo tatizo linapoanza
 
Ndo mlichoamua baada ya kikao chenu cha jana cha umoja wa wanaume wenye vibamia ya?
 
No research,no right to speak....anyway inawezekana haupo Sana mbali na Ukweli
Halafu soma hapa

Your intelligence is related to flow of blood to your brain: study​


ANI | DECCAN CHRONICLE
Published Sep 1, 2016, 3:10 pm IST

Your intelligence is not related to your brain size; rather it is linked more closely to the supply of blood to your brain.

A University of Adelaide-led project, which has overturned the theory of the evolution of human intelligence, showed that the human brain evolved to become not only larger, but more energetically costly and blood thirsty than previously believed.

"We believe this is possibly related to the brain's need to satisfy increasingly energetic connections between nerve cells that allowed the evolution of complex thinking and learning. To allow our brain to be so intelligent, it must be constantly fed oxygen and nutrients from the blood,".

The study has been published in Royal Society Open Science.
 
Back
Top Bottom