Hujaniewa. Maana yangu ilikuwa kwamba huwezi kufanya conclusion kama unavyofanya kwenye mambo ya tafiti. Hata dawa tukisema inatibu, sio wagonjwa wote itawatibu
Halafu kuwa na ubongo mkubwa sio indicator ya kuwa na akili nyingi kati ya mwanadamu kwa mwanadamu, ila katika baadhi ya cases za species na species, kwa mfano mwanadamu na ndege. Na bado hapo sio general theory, la sivyo tembo au gorilla wangekuwa na akili zaidi ya mwanadamu
Angalia hapa
Hujanielewa. Maana yangu ilikuwa kwamba huwezi kufanya conclusion kama unavyofanya kwenye mambo ya tafiti. Hata dawa tukisema inatibu, sio wagonjwa wote itawatibu
Halafu kuwa na ubongo mkubwa sio indicator ya kuwa na akili nyingi kati ya mwanadamu kwa mwanadamu, ila katika baadhi ya cases za species na species, kwa mfano mwanadamu na ndege. Na bado hapo sio general theory, la sivyo tembo au gorilla wangekuwa na akili zaidi ya mwanadamu
Angalia hapa
Your intelligence is related to flow of blood to your brain: study
ANI | DECCAN CHRONICLE
Published Sep 1, 2016, 3:10 pm IST
Your intelligence is not related to your brain size; rather it is linked more closely to the supply of blood to your brain.
Nimechungulia huko na ripoti hii ina complications nyingi, maana imejikita kwenye evolution na wameongelea kijujuu mno Hii haina maana tusiwaamini, bali unahitajika utafiti zaidi kuweza kuonyesha kweli kuna "relationship" hiyo. Ila mimi ninachofikiria (dhana of cause) ni kuwepo uhusiano wa kati ya ya performance and blood flow. Lakini kwa vile sijapata nafasi ya kuangalia literature zilizopo, siwezi kusema bila shaka huo uhusiano upo, but there might be a greater probability the relationship exists.
ANI | DECCAN CHRONICLE
Published Sep 1, 2016, 3:10 pm IST
Your intelligence is not related to your brain size; rather it is linked more closely to the supply of blood to your brain.