Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungetuambia mdogo ni inch ngap na mkubwa ni inch ngap ninge commentKuna jambo ambalo linasemwa lakini halijafanyiwa utafiri kamili, kwamba mara nyingi wanaume wenye sehemu kubwa za siri uwezo wao wa akili huwa ni wa wastani au unakuwa chini, hasa wanapokuwa wamesisimka (kuwa sexually aroused). Na inasemekana kwamba hili ni tatizo linalotokea kwa kuwa wanaposisimka damu nyingi hutumika kwenda sehemu za siri na kusababisha upungufu wa damu kwenye ubongo kwa wakati huo.
Madai yanaendelea kuwa ukichunguza sana, utaona kwamba wengi wa wale wanaobaka watoto wadogo na kuwaharibu, au kubaka watu wazima, au kuwamwagia wanawake mbegu za kiume kwenye vyombo vya usafiri kunapokuwa na mbanano, au hata wanaoingilia vichaa, wanyama kama kuku, mbuzi nk, mara nyingi huwa na sehemu kubwa za siri zinazofanya akili isifanye kazi sawasawa wanapokuwa wamesisimka, na kufanya vitendo hivyo vya aibu. Na wengi wanaishia kusema nilishikwa mfadhaiko au kuingiliwa na ibilisi sikujitambua nilichokuwa nafanya.
Na habari zinaonyesha kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri, kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri wanapokuwa wamesisimka, wapo katika hatari zaidi ya kuambukizwa magonjwa ya ngono kama AIDS kwa kuwa huwa hawana uwezo wa kufikiria hatari hizo wakishasisimka. Inasemekana kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri ni rahisi pia kuchepuka nje ya ndoa. Ni baada ya kumaliza kufanya tendo na damu kurudi kwenye ubongo ndio wanaanza kujutia kitendo walichofanya bila kinga au tahadhari.
Wengi wanasema hili limesababisha kuwepo kwa msemo kwamba mwanaume alipoumbwa alipewa akili na sehemu ya siri, kwa masharti kwamba hawawezi kuvitumia vyote viwili kwa wakati mmoja - lakini tatizo lipo zaidi kwa wanaume wenye sehemu kubwa za siri.
Jumuia ya madaktari, tunaomba mfanye utafiti zaidi katika hii theory ili ukweli ujulikane
Kwa wanaume wenye sehemu ndogo au za kati za siri, huenda mna blessing in disguise bila kujitambua.
Mie navyojua huwezi fanya invention za like Tesla,Newton,Benzos Jeff,christiano,Michael Jordan,Pele, Muhammad Ali, Einstein Albert or jack ma na uwe bado una nguvu huko chini. Mana panachukua energy kubwa mno yaani mno. Mpaka nawaza kuwa wanaozitafuta wanazipelekaga wapi.Kuna jambo ambalo linasemwa lakini halijafanyiwa utafiri kamili, kwamba mara nyingi wanaume wenye sehemu kubwa za siri uwezo wao wa akili huwa ni wa wastani au unakuwa chini, hasa wanapokuwa wamesisimka (kuwa sexually aroused). Na inasemekana kwamba hili ni tatizo linalotokea kwa kuwa wanaposisimka damu nyingi hutumika kwenda sehemu za siri na kusababisha upungufu wa damu kwenye ubongo kwa wakati huo.
Madai yanaendelea kuwa ukichunguza sana, utaona kwamba wengi wa wale wanaobaka watoto wadogo na kuwaharibu, au kubaka watu wazima, au kuwamwagia wanawake mbegu za kiume kwenye vyombo vya usafiri kunapokuwa na mbanano, au hata wanaoingilia vichaa, wanyama kama kuku, mbuzi nk, mara nyingi huwa na sehemu kubwa za siri zinazofanya akili isifanye kazi sawasawa wanapokuwa wamesisimka, na kufanya vitendo hivyo vya aibu. Na wengi wanaishia kusema nilishikwa mfadhaiko au kuingiliwa na ibilisi sikujitambua nilichokuwa nafanya.
Na habari zinaonyesha kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri, kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri wanapokuwa wamesisimka, wapo katika hatari zaidi ya kuambukizwa magonjwa ya ngono kama AIDS kwa kuwa huwa hawana uwezo wa kufikiria hatari hizo wakishasisimka. Inasemekana kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri ni rahisi pia kuchepuka nje ya ndoa. Ni baada ya kumaliza kufanya tendo na damu kurudi kwenye ubongo ndio wanaanza kujutia kitendo walichofanya bila kinga au tahadhari.
Wengi wanasema hili limesababisha kuwepo kwa msemo kwamba mwanaume alipoumbwa alipewa akili na sehemu ya siri, kwa masharti kwamba hawawezi kuvitumia vyote viwili kwa wakati mmoja - lakini tatizo lipo zaidi kwa wanaume wenye sehemu kubwa za siri.
Jumuia ya madaktari, tunaomba mfanye utafiti zaidi katika hii theory ili ukweli ujulikane
Kwa wanaume wenye sehemu ndogo au za kati za siri, huenda mna blessing in disguise bila kujitambua.
Average size ikisimama ni nchi sita. Zaidi ya nchi sita ni kubwa, chini ya nchi sita ni ndogoungetuambia mdogo ni inch ngap na mkubwa ni inch ngap ninge comment
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Atajibu ndio nitanunua Ila ikilala tu na ahadi imelala .Una mume au boyfriend? Muulize swali ndogo tu la kufikirisha wakati amesisimka, na umpime kutokana na jibu lake, halafu linganisha na size yake ufanye judgement
Ulishasikia wanaume wanaahidi kumnunulia mtu Dreamliner wakati wako kwenye kilele? Ndio hapo sasa.
In fact, wanawake wengi wanaitumia sana hii phenomenon, toka enzi za mama zetu na leo, kudai kununuliwa kanga au IST wakati unajua mwanaume yuko ulimwengu wa juu!
Kumbe majibu yote unayo! Hamna haja ya research zaidiAtajibu ndio nitanunua Ila ikilala tu na ahadi imelala .
Kibamia cha lemutuz tulikiona, na akili yake zwazwa wote tunaijuaKuna jambo ambalo linasemwa lakini halijafanyiwa utafiri kamili, kwamba mara nyingi wanaume wenye sehemu kubwa za siri uwezo wao wa akili huwa ni wa wastani au unakuwa chini, hasa wanapokuwa wamesisimka (kuwa sexually aroused). Na inasemekana kwamba hili ni tatizo linalotokea kwa kuwa wanaposisimka damu nyingi hutumika kwenda sehemu za siri na kusababisha upungufu wa damu kwenye ubongo kwa wakati huo.
Madai yanaendelea kuwa ukichunguza sana, utaona kwamba wengi wa wale wanaobaka watoto wadogo na kuwaharibu, au kubaka watu wazima, au kuwamwagia wanawake mbegu za kiume kwenye vyombo vya usafiri kunapokuwa na mbanano, au hata wanaoingilia vichaa, wanyama kama kuku, mbuzi nk, mara nyingi huwa na sehemu kubwa za siri zinazofanya akili isifanye kazi sawasawa wanapokuwa wamesisimka, na kufanya vitendo hivyo vya aibu. Na wengi wanaishia kusema nilishikwa mfadhaiko au kuingiliwa na ibilisi sikujitambua nilichokuwa nafanya.
Na habari zinaonyesha kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri, kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri wanapokuwa wamesisimka, wapo katika hatari zaidi ya kuambukizwa magonjwa ya ngono kama AIDS kwa kuwa huwa hawana uwezo wa kufikiria hatari hizo wakishasisimka. Inasemekana kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri ni rahisi pia kuchepuka nje ya ndoa. Ni baada ya kumaliza kufanya tendo na damu kurudi kwenye ubongo ndio wanaanza kujutia kitendo walichofanya bila kinga au tahadhari.
Wengi wanasema hili limesababisha kuwepo kwa msemo kwamba mwanaume alipoumbwa alipewa akili na sehemu ya siri, kwa masharti kwamba hawawezi kuvitumia vyote viwili kwa wakati mmoja - lakini tatizo lipo zaidi kwa wanaume wenye sehemu kubwa za siri.
Jumuia ya madaktari, tunaomba mfanye utafiti zaidi katika hii theory ili ukweli ujulikane
Kwa wanaume wenye sehemu ndogo au za kati za siri, huenda mna blessing in disguise bila kujitambua.
Kwanza ni upuuzi kumuuliza mtu maswali akiwa high,😁😁Kumbe majibu yote unayo! Hamna haja ya research zaidi
Mkuu, sio kwamba watu wote wote wenye tango wanakuwa na tatizo, na wenye bamia hawana. Vitu hivi vinaenda na asilimia kubwa. Tunaposema unene huleta kisukari, sio kila ukiona mtu mnene useme ana kisukari. Shule vipi mkuu, uliogopa mvua?Kibamia cha lemutuz tulikiona, na akili yake zwazwa wote tunaijua
Inawezekana, maana duniani scientist wengi/wakali wanatokea India na China. Nchi hizo pia zinaongoza kwa wanaume kuwa na uume mdogo. Waarabu na Waafrika wanashindana na punda kwenye nyeti, na utaona wana matatizo makubwa saana kwenye ubongo. Tuendelee kutatafiti ili ukweli ujulikane. Tafiti kuhusu wanawake zinasemaje!Kuna jambo ambalo linasemwa lakini halijafanyiwa utafiri kamili, kwamba mara nyingi wanaume wenye sehemu kubwa za siri uwezo wao wa akili huwa ni wa wastani au unakuwa chini, hasa wanapokuwa wamesisimka (kuwa sexually aroused). Na inasemekana kwamba hili ni tatizo linalotokea kwa kuwa wanaposisimka damu nyingi hutumika kwenda sehemu za siri na kusababisha upungufu wa damu kwenye ubongo kwa wakati huo.
Madai yanaendelea kuwa ukichunguza sana, utaona kwamba wengi wa wale wanaobaka watoto wadogo na kuwaharibu, au kubaka watu wazima, au kuwamwagia wanawake mbegu za kiume kwenye vyombo vya usafiri kunapokuwa na mbanano, au hata wanaoingilia vichaa, wanyama kama kuku, mbuzi nk, mara nyingi huwa na sehemu kubwa za siri zinazofanya akili isifanye kazi sawasawa wanapokuwa wamesisimka, na kufanya vitendo hivyo vya aibu. Na wengi wanaishia kusema nilishikwa mfadhaiko au kuingiliwa na ibilisi sikujitambua nilichokuwa nafanya.
Na habari zinaonyesha kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri, kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri wanapokuwa wamesisimka, wapo katika hatari zaidi ya kuambukizwa magonjwa ya ngono kama AIDS kwa kuwa huwa hawana uwezo wa kufikiria hatari hizo wakishasisimka. Inasemekana kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri ni rahisi pia kuchepuka nje ya ndoa. Ni baada ya kumaliza kufanya tendo na damu kurudi kwenye ubongo ndio wanaanza kujutia kitendo walichofanya bila kinga au tahadhari.
Wengi wanasema hili limesababisha kuwepo kwa msemo kwamba mwanaume alipoumbwa alipewa akili na sehemu ya siri, kwa masharti kwamba hawawezi kuvitumia vyote viwili kwa wakati mmoja - lakini tatizo lipo zaidi kwa wanaume wenye sehemu kubwa za siri.
Jumuia ya madaktari, tunaomba mfanye utafiti zaidi katika hii theory ili ukweli ujulikane
Kwa wanaume wenye sehemu ndogo au za kati za siri, huenda mna blessing in disguise bila kujitambua.
Hiyo point sana - maana waafrika wanajivunia sana mihogo iliyokomaa wakidai wazungu wana vibamia. Kumbe ndio maana wanatuzidi maarifa! Damu ya mswahili bwana inashinda sehemu za siri mara chache sana kupanda kwenye ubongo!Tufanye utafiti wa kina kati ya Mwafrika na Mzungu. Ina maana Afrika Ina mihogo iliyokamaa na mikubwa kuliko Ulaya?
MmmhTunawataka ivoivo
Halafu katika Afrika wenye kuongoza kwa mihogo mikubwa ni South Sudan. Angalia walipo kwenye nchi yao!Inawezekana, maana duniani scientist wengi/wakali wanatokea India na China. Nchi hizo pia zinaongoza kwa wanaume kuwa na uume mdogo. Waarabu na Waafrika wanashindana na punda kwenye nyeti, na utaona wana matatizo makubwa saana kwenye ubongo. Tuendelee kutatafiti ili ukweli ujulikane. Tafiti kuhusu wanawake zinasemaje!
Mfano wako siyo mzuri. Kisukari ni ugonjwa na ukubwa au udogo wa mtwangio siyo ugonjwa. Mbona kuna theory inasema size ya ubongo inaendana na akili, kwa kutumia analogy unafikiri ni sawa.Mkuu, sio kwamba watu wote wote wenye tango wanakuwa na tatizo, na wenye bamia hawana. Vitu hivi vinaenda na asilimia kubwa. Tunaposema unene huleta kisukari, sio kila ukiona mtu mnene useme ana kisukari. Shule vipi mkuu, uliogopa mvua?
Hujanielewa. Maana yangu ilikuwa kwamba huwezi kufanya conclusion kama unavyofanya kwenye mambo ya tafiti. Hata dawa tukisema inatibu, sio wagonjwa wote itawatibuMfano wako siyo mzuri. Kisukari ni ugonjwa na ukubwa au udogo wa mtwangio siyo ugonjwa. Mbona kuna theory inasema size ya ubongo inaendana na akili, kwa kutumia analogy unafikiri ni sawa.