Inasemekana wanaume wenye sehemu kubwa za siri huwa wanapatwa na tatizo la uwezo mdogo wa akili

Kumbe hakuna chapisho ya hiyo research na ni inasemekana tu?
Inasemekana inaanzia hapa Mkuu

Your intelligence is related to flow of blood to your brain: study​

ANI | DECCAN CHRONICLE
Published Sep 1, 2016, 3:10 pm IST

The study has been published in Royal Society Open Science.
 
Kuna jambo ambalo linasemwa lakini halijafanyiwa utafiri kamili, kwamba mara nyingi wanaume wenye sehemu kubwa za siri uwezo wao wa akili huwa ni wa wastani au unakuwa chini, hasa wanapokuwa wamesisimka (kuwa sexually aroused). Na inasemekana kwamba hili ni tatizo linalotokea kwa kuwa wanaposisimka damu nyingi hutumika kwenda sehemu za siri na kusababisha upungufu wa damu kwenye ubongo kwa wakati huo.

Madai yanaendelea kuwa ukichunguza sana, utaona kwamba wengi wa wale wanaobaka watoto wadogo na kuwaharibu, au kubaka watu wazima, au kuwamwagia wanawake mbegu za kiume kwenye vyombo vya usafiri kunapokuwa na mbanano, au hata wanaoingilia vichaa, wanyama kama kuku, mbuzi nk, mara nyingi huwa na sehemu kubwa za siri zinazofanya akili isifanye kazi sawasawa wanapokuwa wamesisimka, na kufanya vitendo hivyo vya aibu. Na wengi wanaishia kusema nilishikwa mfadhaiko au kuingiliwa na ibilisi sikujitambua nilichokuwa nafanya.

Na habari zinaonyesha kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri, kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri wanapokuwa wamesisimka, wapo katika hatari zaidi ya kuambukizwa magonjwa ya ngono kama AIDS kwa kuwa huwa hawana uwezo wa kufikiria hatari hizo wakishasisimka. Inasemekana kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri ni rahisi pia kuchepuka nje ya ndoa. Ni baada ya kumaliza kufanya tendo na damu kurudi kwenye ubongo ndio wanaanza kujutia kitendo walichofanya bila kinga au tahadhari.

Wengi wanasema hili limesababisha kuwepo kwa msemo kwamba mwanaume alipoumbwa alipewa akili na sehemu ya siri, kwa masharti kwamba hawawezi kuvitumia vyote viwili kwa wakati mmoja - lakini tatizo lipo zaidi kwa wanaume wenye sehemu kubwa za siri.

Jumuia ya madaktari, tunaomba mfanye utafiti zaidi katika hii theory ili ukweli ujulikane

Kwa wanaume wenye sehemu ndogo au za kati za siri, huenda mna blessing in disguise bila kujitambua.
ungetuambia mdogo ni inch ngap na mkubwa ni inch ngap ninge comment

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mie navyojua huwezi fanya invention za like Tesla,Newton,Benzos Jeff,christiano,Michael Jordan,Pele, Muhammad Ali, Einstein Albert or jack ma na uwe bado una nguvu huko chini. Mana panachukua energy kubwa mno yaani mno. Mpaka nawaza kuwa wanaozitafuta wanazipelekaga wapi.
Huwezi kuwaza kuachia kizazi chako kitu Kama Kairuki hospital &chuo,like ipp media, na bado ukawa unaongozwa na huko chini.

Wanaume tuna nguvu mbili
1) kutafuta k aka mbususu unayolala unaiota.
2) kutafuta maisha ama pesa ama Mali.
Sasa bwana hivi vitu viwili kukaa kwa sehemu moja Kuna repulsion force kubwa mno yaani mno.
Na kichwa kipo Kama ndoo ama vessel la kuhifadhia kitu chochote.
Sasa wewe umehifadhi mchele Mara unamwaga ili uhifadhi Tena ulezi.
Yaani ukiwa unahifadhi kitu kimoja like mchele utajua mashamba yote,wakulima wote na wadau wote wa mchele na utakuwa unajua quantity of productions kila mahala ambayo kwako wewe Ni faida unaweza ukaitumia kwa faida yako binafsi na ukatoboa.
Sasa Mara toa mchele weka asali Mara wekamo dhahabu,Mara wekamo mtama,mhogo,mahindi sidhani Kama utakuwa expert katika eneo lako.
 
Una mume au boyfriend? Muulize swali ndogo tu la kufikirisha wakati amesisimka, na umpime kutokana na jibu lake, halafu linganisha na size yake ufanye judgement

Ulishasikia wanaume wanaahidi kumnunulia mtu Dreamliner wakati wako kwenye kilele? Ndio hapo sasa.

In fact, wanawake wengi wanaitumia sana hii phenomenon, toka enzi za mama zetu na leo, kudai kununuliwa kanga au IST wakati unajua mwanaume yuko ulimwengu wa juu!
Atajibu ndio nitanunua Ila ikilala tu na ahadi imelala .
 
Tufanye utafiti wa kina kati ya Mwafrika na Mzungu. Ina maana Afrika Ina mihogo iliyokamaa na mikubwa kuliko Ulaya?
 
Kuna jambo ambalo linasemwa lakini halijafanyiwa utafiri kamili, kwamba mara nyingi wanaume wenye sehemu kubwa za siri uwezo wao wa akili huwa ni wa wastani au unakuwa chini, hasa wanapokuwa wamesisimka (kuwa sexually aroused). Na inasemekana kwamba hili ni tatizo linalotokea kwa kuwa wanaposisimka damu nyingi hutumika kwenda sehemu za siri na kusababisha upungufu wa damu kwenye ubongo kwa wakati huo.

Madai yanaendelea kuwa ukichunguza sana, utaona kwamba wengi wa wale wanaobaka watoto wadogo na kuwaharibu, au kubaka watu wazima, au kuwamwagia wanawake mbegu za kiume kwenye vyombo vya usafiri kunapokuwa na mbanano, au hata wanaoingilia vichaa, wanyama kama kuku, mbuzi nk, mara nyingi huwa na sehemu kubwa za siri zinazofanya akili isifanye kazi sawasawa wanapokuwa wamesisimka, na kufanya vitendo hivyo vya aibu. Na wengi wanaishia kusema nilishikwa mfadhaiko au kuingiliwa na ibilisi sikujitambua nilichokuwa nafanya.

Na habari zinaonyesha kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri, kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri wanapokuwa wamesisimka, wapo katika hatari zaidi ya kuambukizwa magonjwa ya ngono kama AIDS kwa kuwa huwa hawana uwezo wa kufikiria hatari hizo wakishasisimka. Inasemekana kwamba wanaume wenye sehemu kubwa za siri ni rahisi pia kuchepuka nje ya ndoa. Ni baada ya kumaliza kufanya tendo na damu kurudi kwenye ubongo ndio wanaanza kujutia kitendo walichofanya bila kinga au tahadhari.

Wengi wanasema hili limesababisha kuwepo kwa msemo kwamba mwanaume alipoumbwa alipewa akili na sehemu ya siri, kwa masharti kwamba hawawezi kuvitumia vyote viwili kwa wakati mmoja - lakini tatizo lipo zaidi kwa wanaume wenye sehemu kubwa za siri.

Jumuia ya madaktari, tunaomba mfanye utafiti zaidi katika hii theory ili ukweli ujulikane

Kwa wanaume wenye sehemu ndogo au za kati za siri, huenda mna blessing in disguise bila kujitambua.
Kibamia cha lemutuz tulikiona, na akili yake zwazwa wote tunaijua
 
Mkuu, sio kwamba watu wote wote wenye tango wanakuwa na tatizo, na wenye bamia hawana. Vitu hivi vinaenda na asilimia kubwa. Tunaposema unene huleta kisukari, sio kila ukiona mtu mnene useme ana kisukari. Shule vipi mkuu, uliogopa mvua?
 
Inawezekana, maana duniani scientist wengi/wakali wanatokea India na China. Nchi hizo pia zinaongoza kwa wanaume kuwa na uume mdogo. Waarabu na Waafrika wanashindana na punda kwenye nyeti, na utaona wana matatizo makubwa saana kwenye ubongo. Tuendelee kutatafiti ili ukweli ujulikane. Tafiti kuhusu wanawake zinasemaje!
 
Tufanye utafiti wa kina kati ya Mwafrika na Mzungu. Ina maana Afrika Ina mihogo iliyokamaa na mikubwa kuliko Ulaya?
Hiyo point sana - maana waafrika wanajivunia sana mihogo iliyokomaa wakidai wazungu wana vibamia. Kumbe ndio maana wanatuzidi maarifa! Damu ya mswahili bwana inashinda sehemu za siri mara chache sana kupanda kwenye ubongo!
 
Inawezekana, maana duniani scientist wengi/wakali wanatokea India na China. Nchi hizo pia zinaongoza kwa wanaume kuwa na uume mdogo. Waarabu na Waafrika wanashindana na punda kwenye nyeti, na utaona wana matatizo makubwa saana kwenye ubongo. Tuendelee kutatafiti ili ukweli ujulikane. Tafiti kuhusu wanawake zinasemaje!
Halafu katika Afrika wenye kuongoza kwa mihogo mikubwa ni South Sudan. Angalia walipo kwenye nchi yao!

Wanawake hawana hii weakness, damu haitoki kichwani, anakuibia hata akiwa kileleni!
 
Nene ndefu inaongeza confidence lkn- mliobarikiwa jipigeni kifua Sema Mimi ni mwamba na mshindi 😁😁😁
 
Mkuu, sio kwamba watu wote wote wenye tango wanakuwa na tatizo, na wenye bamia hawana. Vitu hivi vinaenda na asilimia kubwa. Tunaposema unene huleta kisukari, sio kila ukiona mtu mnene useme ana kisukari. Shule vipi mkuu, uliogopa mvua?
Mfano wako siyo mzuri. Kisukari ni ugonjwa na ukubwa au udogo wa mtwangio siyo ugonjwa. Mbona kuna theory inasema size ya ubongo inaendana na akili, kwa kutumia analogy unafikiri ni sawa.
 
Hujanielewa. Maana yangu ilikuwa kwamba huwezi kufanya conclusion kama unavyofanya kwenye mambo ya tafiti. Hata dawa tukisema inatibu, sio wagonjwa wote itawatibu

Halafu kuwa na ubongo mkubwa sio indicator ya kuwa na akili nyingi kati ya mwanadamu kwa mwanadamu, ila katika baadhi ya cases za species na species, kwa mfano mwanadamu na ndege. Na bado hapo sio general theory, la sivyo tembo au gorilla wangekuwa na akili zaidi ya mwanadamu

Angalia hapa

Your intelligence is related to flow of blood to your brain: study​

ANI | DECCAN CHRONICLE
Published Sep 1, 2016, 3:10 pm IST
Your intelligence is not related to your brain size; rather it is linked more closely to the supply of blood to your brain.
 
Back
Top Bottom