Inasemekana wanaume wenye sehemu kubwa za siri huwa wanapatwa na tatizo la uwezo mdogo wa akili

Kwahyo unataka kusema wenye ndonga kubwa ubongo unakua umehamia kwenye dushe au sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Damu nyingi inakuwa inazurura maeneo ya dushe, ubongo unakosa damu, na damu ndo inabeba oxygen
 
Hapo ujue ubongo unakosa damu, damu inakuwepo maeneo ya dushe inazurura
 
Damu nyingi inakuwa inazurura maeneo ya dushe, ubongo unakosa damu, na damu ndo inabeba oxygen
Ah kumbe oxygen ndo akili tupeni somo sisi tuliokimbia kusoma now tunahahamaa hatujui hata kitu
 
Ah kumbe oxygen ndo akili tupeni somo sisi tuliokimbia kusoma now tunahahamaa hatujui hata kitu
Ni ile ile uliyosoma mkuu, damu inabeba red blood cells ambazo zina hemoglobin inayobeba oxygen, oxygen inatengeneza nguvu mfumo wa ATP, ATP ndo inatumiwa na ubongo kuchaji na hapo ubongo unafanya kazi.

Hivyo oxygen ikipungua ni majanga.
 
Ah kumbe oxygen ndo akili tupeni somo sisi tuliokimbia kusoma now tunahahamaa hatujui hata kitu
Bila oxygen kicwani ubongo unalala, sasa dushe ikitaka damu ubongo lazima uachie damu na hivyo kupungukiwa na oxygen.

Ndio maana hata ukikata ugali mzito na maharage mchana unasinzia. Damu nyingi inaenda kwenye tumbo kufanya kazi ya digestion, na ili ubongo usihitaji damu nyingi wakati huo inabidi ulale. Tofauti na ukisisimka ni kwamba wakati umesisimka, adrenalin zinakuwa zimeingia mwilini, na kukufanya usilale japo damu haiko kichwani, matokeo ni kwamba unakuwa macho lakini huna damu ya kutosha kuendesha ubongo ufanye maamuzi makini, unatoa dushu kwenye daladala na kumwagia dada kwenye makalio!

Ila sasa, ukimwaga tu, damu yote inarudi kichwani, ubongo unaanza tena kuchanganya, na hapo ndipo unaanza kujishangaa na ulichofanya na kukumbuka mvua 30 zinazokungoja!
 
Duh elimu tosha kabisa mm sikujua hilo
 
Duh elimu tosha kabisa mm sikujua hilo
Ndivyo ilivyo hata kwenye chap chap za changudoa. Unapiga kavu kavu wakati damu haipo kichwani, damu ikirudi kichwani baada ya kumwaga ndio unakumbuka ukimwi na condom uliyonayo mfukoni!

Sasa ndio tunasema, inaonekana tatizo linakuwa baya zaidi ukiwa na dushu kubwa.
 
Ohooo mtihabi kwahyo tuseme na yule anaeitwa popoma bas ana hali hii au siiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ohooo mtihabi kwahyo tuseme na yule anaeitwa popoma bas ana hali hii au siiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu ila wengine ni tabia zao tu mbaya, ndio maaa nikasema utafiti unapaswa kufanyika. Wasisingizie kuwa na dushu kubwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Ndio maana vichaa wengi ndio waliobarikiwa [emoji30]
 
Naonaga wengi wanalalamika kusimamiasha Kwa tabu
Ndio maana pia unaambiwa unapopata shida kusimamisha, punguza stress, tulia, kwa kuwa unapokuwa stressed damu inang'ang'ania kichwani. Relax usiwaze mambo ya kazi au mengine ili damu iondoke kichwani ikasimamishe dushu!
 
KAMA WEWE N ULIEANDIKA N MWANAUME KUNA SHIDA.......

ULIJUAJE UUME MKUBWA WA MWENZIO .ELSE UWE UNAJISEMA...

MAUMBILE YA MWENZIO WAFANYIA UTAFITII TAKBIIIIIR
 
KAMA WEWE N ULIEANDIKA N MWANAUME KUNA SHIDA.......

ULIJUAJE UUME MKUBWA WA MWENZIO .ELSE UWE UNAJISEMA...

MAUMBILE YA MWENZIO WAFANYIA UTAFITII TAKBIIIIIR
Hebu niondolee ujinga wako wa kidini hapa. Nenda Afghanstan kama unajiona wewe mdini sana, eboo. Takbiiir mwenyewe, kama ni tusi.

Mie ni scientist bwana, hata dushu yako hiyo nitaifanyia uchuguzi kama ina wadudu au la. Kwanza njoo tukupime usije ukawa na chronic syphilis imepanda kichwani
 
Mimi iko busy bwana, sio kama wewe una muda wa kuwa JF 24/7 unategemea kutunzwa na shemeji sijui


Kwa mara ya kwanza nilipokuuliza maswali mbona uliyajibu muda huohuo!! au na wewe muda huo ullkuwa umemuazima shemejio simu yake??, au ulikuwa unadowea kifurushi cha mama mkweo??.
 

Mkuu kwenye kilele, hata kibamia lazima aweweseke bhana!

Kwenye mshindo kuna mengi ya kustaajabisha namna wanaume wanavyovaa sura mpyaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†!

Hata kama alikuwa akiigiza kufanya, ikifika kwenye "mshindo state", maigizo tupa kule, uvivu weka pembeni, changamkia tenda kwa kutumia nguvu zote kujituma na kujitutumua kinyama!

Sura hubadilika na kuwa ya mnyama asiyefahamika jina, kutoa macho yote kama atoavyo panya aliyenaswa mtegoni ama kufumba kabisa macho na kukaza mataya.

Kutoa ulimi wote ama kuachama kabisa kizezeta huku akitokwa udenda!

Ushashuhudia mtu akifa, mfano ni huo sasa, maana kuna wengine hushindwa kujikontroo kabisa hadi kujinyea

Wanaoanza kufanya huku wakitafuna jojo, ikifika muda huo, ghafla jojo mdomoni hugeuka chungu, huzitema ama hujistahi kwa kuacha kutafuna na kumeza makapi kimya kimya!

Hizi Xxx video tunazoangalia ni michezo ya maigizo kwa watu waliojiandaa kumulikwa haina uhalisia.

Jamaa yangu aliweka camera ya siri kwenye chumba cha gest aliyokuwa akihudumia, ndiyo tuliona mengi ambayo hayaandikiki namna binadana na heshima zake anavyokosa utu anapokuwa kwenye kilele cha mahaba akikojoa!

Yupo tayari kuahidi kununua ndege, ili mradi jambo hilo zito lipite salama kwanza.

Na tena kungelikuwa na uwezekano wa kugawika jambo hilo, basi watu wengi wangelishindwa kulimaliza peke yao na kupelekea kupiga kelele za kuomba msaada wasaidiwe na wengine kumalizia.

Acha wanawake waitwe mama, wamebeba siri nyingi sana za madhaifu ya wanaume.
 
Kwa hiyo wenye vibamia hawana Risk kubwa na wanakua na akili timamu wakati wa msisimko kwa sababu hata mashine ikisimama, ni kiasi kidogo tu cha damu kinachotumika. Pia kukosa kujiamini inafanya waepukane kabisa na Risk[emoji23][emoji23] daah
 
Uongo huu ni uongo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…