Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

Joline mwanangu, hii ni jf.
Unaweza kukuta wanaondama wanawake 30+ ni choka mbaya na hawawezi hata kumiliki mwanamke.
Niwatie moyo wadada wote wanaokimbilia 30 na waliovuka...
Wasijipe presha kila mtu na majira yake.
Kwani mkuu, kwenye kikao cha mwisho cha wanaume hukuhudhuria mkuu? Mbona hili jambo liko wazi!!? Endelea kuwatia moyo, utakuja kuwaoa wote peke yako!

Ohoo! Ndo ukutane na Thate Plus aliyesoma chuo cha IFM [emoji24][emoji24]
 
Hicho kilikuwa kikao cha wavulana mkuu.
Big boys hatunaga utoto huo tafadhali
Shimba ya Buyenze [emoji23]
Unawatetea kwa kuwa tayari una mke! Ungekuwa bado halafu ikatokea mama ina miaka 43 ikakuomba uioe, hapo ndo ungejua ni kwanini maji safi hayana rangi!

Fanya ku assume mkuu! Labda kama ni kuwafanya wake za pili hapo sawa!
 
Unawatetea kwa kuwa tayari una mke! Ungekuwa bado halafu ikatokea mama ina miaka 43 ikakuomba uioe, hapo ndo ungejua ni kwanini maji safi hayana rangi!

Fanya ku assume mkuu! Labda kama ni kuwafanya wake za pili hapo sawa!
🤣😂😂😂😂😂
Kijana wangu, kisichokufaa wewe kitamfaa mwingine..usisahau kuna wagane na watalaka wa rika hiyo watamuoa.
Sasa kuna mwanamke huwa anajitakia avuke 30+?
Dada yako akivuka utamfukuza?
Vaa viatu huyo 40+ angekua dada yako ungeongea haya?
 

Una point ya msingi sana

Minor issues zinakujaga kuwa kubwa wakati usiotarajia[emoji2214][emoji2214]
 
Amekupigaje pesa bila kukupa mbususu?

Na huyu ndiye mwanamke wa kuoa sasa.
 
Little difficult kuoa mwanamke thate plus Kama Hana pesa
Ila n wazuri kuoa kupata mtaji au pesa ya kuendelezea biashara
 
Ahah Shimba ya Buyenze naelewa wala hawanitishi hao vijana.
 
Nimekuelewa shukran sana mkuu though mm umri wangu bado sana kufikia hiyo 30 lkn asante nimekuelewa.
 
Ndyooo babuuuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…