Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

Najaribu kukusoma mahala sikuelewi, unasema mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya dola 4765, then mwezi Dec 2021 tukaambiwa tena tuna akiba ya dola 6253, unapouliza mbona taarifa ya mwezi Juni 2021 hatukupewa unakuwa na maana gani?
Mkuu ni kipi ambacho hujaelewa hapo, mbona taarifa ipo wazi Sana.
 
Tatizo lipo kwenye hicho kiasi ni kikubwa mnoo
Dolla 4765 B ni sawa na Trillion elfu kumi miatisa themanini na nane.
 
Itakuwa hujui kusoma. Pole sana.
Dogo, Magufuli amekufaaa na ameshazikwa na kuoza. Rais ni Samia. Weka hili kwenye akili yako. Anaweza kulala na kuamka kusema naigawa Kinondoni iwe mikoa mitatu, hakuna atakayempinga. Amelala na kuamka kusema Kalemani nje na Makamba Waziri, ndo imetoka hiyo. Ukizingatia haya utapata utulivu wa moyo.
 
Labda alipotangaza alikuwa amevaa barakoa kwa hiyo figures hazikutoka sawa sawa. Sasa ikiwa TRA wamevunja rekodi za kukusanya na akiba ya forex ni nono kwa nini tunaendelea kukopa kila kukicha? Au hizi forex tulizoelezwa zimeletwa na hii Royal tour? Jamani msipinge ulizeni kwanza
 
Ikiwa mambo madogo Kama haya ya kusoma tu anakosea, vipi kuhusu mikataba?
Ndugu yangu si unakumbuka mikataba ya contractor feki' wa kutengeneza meli zile za Mwanza, na yaliyotokea........ kaaazi kwelikweli.
 
sasa hapo umedhihirisha/rekebisha nini?....umerudia yaleyale japo kwa maandishi mengi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…